Ndio hapa nashangaa! Mimi mwenyewe nilisoma government schools lakini siwezi kuruhusu mwanangu asome tena hizo shuleHuu utaratibu wa kujivunia matatizo hua upo Tanzania pekee. Sasa kama mwalimu amegoma kuwafundisha hilo ni kosa la nani?
Hilo linakufanya vipi kua bora zaidi ya yule ambae mwalimu wake amemfundisha vizuri?
Kujivunia? Wewe wasema.Huu utaratibu wa kujivunia matatizo hua upo Tanzania pekee. Sasa kama mwalimu amegoma kuwafundisha hilo ni kosa la nani?
Hilo linakufanya vipi kua bora zaidi ya yule ambae mwalimu wake amemfundisha vizuri?
Hahaha dah!Shule za serikali ndio zimejaza mazezeta na matikiti maji...
Zero nyingi zinatoka shule za kata za serikali
Nilipoanzia na huyu jamaa ndo sababu nikaandika hivyoUnadhani ni sifa kusoma bila kufundishwa na mwalimu ?
Ilitufundisha kusocialize sana...
Form one tulikuwa na watoto toka Greenacres, Arusha modern na the likes..walikuwa wachoyo sana kiasi cha maandazi yao (wanayoletewa wakitembelewa) kuozea ndani ya matranka..lakini in time wakaja kubadilika wakawa wanashare tu vitu fresh...
Poa mtoto wa international schoolMazezeta yenye bright future!! Nyie mliofanyishwa kazi za sulubu huku mkiandika masomo yote kwenye daftari moja mlifaidika nini? Zaidi ya kujivunia shida? Yaani kwenu ignorance is a bliss!!
Wanunua mitihani nyie hamna kitu tupo vidume tuliotoboa na kata toka primary mpaka advanceShule za serikali ndio zimejaza mazezeta na matikiti maji...
Zero nyingi zinatoka shule za kata za serikali
Nimesoma private kuanzia F1 hadi F6 sijawahi kupewa pepa nimetoboa kwa akili zangu na nimeenda chuo nikawa nawakimbiza jamaa waliotoka government ingawa sio wote..Wanunua mitihani nyie hamna kitu tupo vidume tuliotoboa na kata toka primary mpaka advance
Lkn kwenye matokeo ya mitihani mazezeta yanatoboa sio!!Private schools nyingi zimejaza matoto mazezeta
Nyie jau mpo kama kuku wa kisasaNimesoma private kuanzia F1 hadi F6 sijawahi kupewa pepa nimetoboa kwa akili zangu na nimeenda chuo nikawa nawakimbiza jamaa waliotoka government ingawa sio wote..
Kwahio swala la akili sio government wala private ni kichwa cha mtu tu
Yanaiba mitihani hayoLkn kwenye matokeo ya mitihani mazezeta yanatoboa sio!!
Hahaaa nyie mko kama machokolaa msio na maadili.Nyie jau mpo kama kuku wa kisasa
Hilo wazo la kimaskini mkuu, unaona mwenzio katoboa kimaisha badala ya kuongeza bidii wee unawaza anatumia uchawi.Yanaiba mitihani hayo
Sawa private school zimejaa mashoga kibaoHahaaa nyie mko kama machokolaa msio na maadili.
Watu tumesoma kwa raha na bado tunaendelea kupata raha maishani