kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,695 Reaction score 20,633 Aug 1, 2018 #81 Samboko said: Hilo wazo la kimaskini mkuu, unaona mwenzio katoboa kimaisha badala ya kuongeza bidii wee unawaza anatumia uchawi. Click to expand... Wezi tu nyie
Samboko said: Hilo wazo la kimaskini mkuu, unaona mwenzio katoboa kimaisha badala ya kuongeza bidii wee unawaza anatumia uchawi. Click to expand... Wezi tu nyie
carcinoma JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 5,059 Reaction score 13,771 Aug 1, 2018 #82 kurlzawa said: Sawa private school zimejaa mashoga kibao Click to expand... James delicious unamjua?? Unajua kasoma shule gani?? Ile ni product ya government school tena olevel kasomea musoma... Nyie watu wa government mmesoma kwa shida sasa mnatumia ile inferiority complex yenu kutuchukia sisi tuliosoma private.. Nakishauri ukaze sana mtoto wako asipate taabu kama ulizopata wewe za kubeba vidum na mifagio
kurlzawa said: Sawa private school zimejaa mashoga kibao Click to expand... James delicious unamjua?? Unajua kasoma shule gani?? Ile ni product ya government school tena olevel kasomea musoma... Nyie watu wa government mmesoma kwa shida sasa mnatumia ile inferiority complex yenu kutuchukia sisi tuliosoma private.. Nakishauri ukaze sana mtoto wako asipate taabu kama ulizopata wewe za kubeba vidum na mifagio
Samboko JF-Expert Member Joined Oct 30, 2011 Posts 5,420 Reaction score 7,788 Aug 1, 2018 #83 kurlzawa said: Wezi tu nyie Click to expand... Utabaki kusema ivoivo wakati wenzio wanatoboa kimasomo na kimaisha
kurlzawa said: Wezi tu nyie Click to expand... Utabaki kusema ivoivo wakati wenzio wanatoboa kimasomo na kimaisha
Tasbeeh313 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 1,919 Reaction score 2,054 Aug 1, 2018 #84 Raynavero said: Acha tuu hayo mambo hayo msos siku ya nyama bwana na wali foleni sio ya nchi hii Click to expand... Siku ya nyama hata wagonjwa kama wapo hospital asee wanapona kwa hiyo single day ya nyama
Raynavero said: Acha tuu hayo mambo hayo msos siku ya nyama bwana na wali foleni sio ya nchi hii Click to expand... Siku ya nyama hata wagonjwa kama wapo hospital asee wanapona kwa hiyo single day ya nyama
nsanzu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 4,673 Reaction score 5,402 Aug 2, 2018 #85 Maisha ya kipumbavu sana hayo halafu kuna watu wanaona ni ushujaa. Kusoma sio vita, ila hayo maisha ni ujinga mtupu. Hapo sijui kunakuwa kunafundishwa maisha ya namna gani
Maisha ya kipumbavu sana hayo halafu kuna watu wanaona ni ushujaa. Kusoma sio vita, ila hayo maisha ni ujinga mtupu. Hapo sijui kunakuwa kunafundishwa maisha ya namna gani