John Fedha
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 624
- 717
Hizo imani za kale.'Zanaki' Tanzania na 'Tutsi' Rwanda. 'IQ's' za haya 'Makabila' unaweza 'ukazilinganisha' tu na 'Geniuses' wa dunia kama Wayahudi na Warusi pekee.
Ujuaji ukizidi matokeo yake ndio haya sasa .Kufanya Mambo bila busara impact yake ndio hii , Kuna maamuzi na Mambo aliyafanya ndani ya miaka mitano bila kuangalia matokeo yake , Sasa ndio muda unampa majibu na bado hasa plan b ya Lissu hatoamini.
Waliomuua wako wapi ?Ewe mkapa fufuka hata kwa ñdoto ulete matumaini, busara na mikakati ya kampeni maana nahisi kukaribia kusema pengo lako halidhibiki.
Wewe dogo huwa huwezi kubishana au kujibu hoja bila kumhusisha mzazi wa unayebishana naye, sijui ni ushamba au utoto unakusumbua.Na hata aliyekuleta duniani nisingetumia 'Mafumbo' haya Kwake wala asingekuwa 'anaweza' Kumtoroka na Kumsaliti 'Mshua' wako na kuja Kwangu.
Hapa ni kwa aliyenacho na asiyekuwa nacho. Ingawa sijasomea Sayansi ya Jamii, mie naona yupo sahihi kwa kuwa katika utawala wake ameonyesha uthubutu kwa watanzania, ambao wengi siku za nyuma tulikuwa tunaimba. Hivyo lazima atawaambia wapiga kura yeye amefanya hiki na anataka kuendeleza kile ambacho ameanza kukitekeleza, kwa maoni yangu yupo sahihi."Nichagueni Mimi GENTAMYCINE si mmeona kabisa Maendeleo niliyowafanyia? Kamwe msiwachague hao Wahuni, wanaotumiwa na akina Trump na Johnson. Nichagueni tu Mimi GENTAMYCINE ambaye kiukweli ndiyo nayajua matatizo yenu makubwa na msiwachague kabisa hao wengine kwani ni Mafisadi, Waongo na hawana Uchungu na nchi yetu hii ya Malawi ya Kaskazini kabisa. Nichagueni Mimi GENTAMYCINE kwani ndiyo Masikini mwenzenu na kamwe msiwachague hawa Mawakala wa Mabeberu ambao wengi Wao huwa hawaishi Malawi ya Kaskazini na wala hawana nia njema nayo kabisa "
Sasa kama tu Mgombea 'Mshika Mpini' anazuia Wananchi wa Malawi ya Kaskazini wasiwachague 'Washindani' wake je, na Wao wasemeje labda?
wapiga kura ni watu wa rika tofauti, elimu tofauti, mazingira wanayoishi na namna ya maisha ni tofuti, kwahiyo katika siasa ukiyazingatia hayo hakuna kauli ya kidhaifu inategemea unazungumza na wapiga kura wa namna gani na wakati gani, vinginevyo naona mtoa maada ndo dhaifu wa kuelewa mambo sababu ana haraka ya kuelewa, yaani anadaka mambo juu juu halafu anaamini kaelewa."Nichagueni Mimi GENTAMYCINE si mmeona kabisa Maendeleo niliyowafanyia? Kamwe msiwachague hao Wahuni, wanaotumiwa na akina Trump na Johnson. Nichagueni tu Mimi GENTAMYCINE ambaye kiukweli ndiyo nayajua matatizo yenu makubwa na msiwachague kabisa hao wengine kwani ni Mafisadi, Waongo na hawana Uchungu na nchi yetu hii ya Malawi ya Kaskazini kabisa. Nichagueni Mimi GENTAMYCINE kwani ndiyo Masikini mwenzenu na kamwe msiwachague hawa Mawakala wa Mabeberu ambao wengi Wao huwa hawaishi Malawi ya Kaskazini na wala hawana nia njema nayo kabisa "
Sasa kama tu Mgombea 'Mshika Mpini' anazuia Wananchi wa Malawi ya Kaskazini wasiwachague 'Washindani' wake je, na Wao wasemeje labda?
upuuzi mwingine huuGenta, hata viongozi wengine ndani ya CCM wameanza kujishtukia kuwa hawana MTU sahihiView attachment 1562604View attachment 1562606
Sawa sawa! nimekuelewa! nilitaka kushangaa!Nimeitaja Tanzania Kimakosa kwani wakati ninaandika kuna Demu wangu kutoka nchini Tanzania alinipigia Kunisalimia na nikajisahau kabisa. Pole!
Mkuu, inastaajabisha! Tusubiri watoa maoni"Nichagueni Mimi GENTAMYCINE si mmeona kabisa Maendeleo niliyowafanyia? Kamwe msiwachague hao Wahuni, wanaotumiwa na akina Trump na Johnson. Nichagueni tu Mimi GENTAMYCINE ambaye kiukweli ndiyo nayajua matatizo yenu makubwa na msiwachague kabisa hao wengine kwani ni Mafisadi, Waongo na hawana Uchungu na nchi yetu hii ya Malawi ya Kaskazini kabisa. Nichagueni Mimi GENTAMYCINE kwani ndiyo Masikini mwenzenu na kamwe msiwachague hawa Mawakala wa Mabeberu ambao wengi Wao huwa hawaishi Malawi ya Kaskazini na wala hawana nia njema nayo kabisa "
Sasa kama tu Mgombea 'Mshika Mpini' anazuia Wananchi wa Malawi ya Kaskazini wasiwachague 'Washindani' wake je, na Wao wasemeje labda?
Well said"Nichagueni Mimi GENTAMYCINE si mmeona kabisa Maendeleo niliyowafanyia? Kamwe msiwachague hao Wahuni, wanaotumiwa na akina Trump na Johnson. Nichagueni tu Mimi GENTAMYCINE ambaye kiukweli ndiyo nayajua matatizo yenu makubwa na msiwachague kabisa hao wengine kwani ni Mafisadi, Waongo na hawana Uchungu na nchi yetu hii ya Malawi ya Kaskazini kabisa. Nichagueni Mimi GENTAMYCINE kwani ndiyo Masikini mwenzenu na kamwe msiwachague hawa Mawakala wa Mabeberu ambao wengi Wao huwa hawaishi Malawi ya Kaskazini na wala hawana nia njema nayo kabisa "
Sasa kama tu Mgombea 'Mshika Mpini' anazuia Wananchi wa Malawi ya Kaskazini wasiwachague 'Washindani' wake je, na Wao wasemeje labda?
Akili ya mtu aliyeishiwa hojakwetu tuna akili timamu kabisa tatizo ni wewe akili yako bado inanuka mkojo wa bar mama yako alipata mimba baada ya kubakwa bar alivyokuwa amelewa sasa wewe utakuwa na akili kweli?
Kwa Tz ni aliyeichagua tumeKampeini sio mhadhara wa kinadharia chuo kikuu bali ni namna ya kufanya ushawishi ili wanao kusikiliza waweze kuvutiwa na kukuunga mkono na hatimaye kukuchagua. Kwa hiyo kabla hujaanza kutoa hotuba yako lazima uzingatie mambo muhimu mawili:
Hivyo mtindo, na maudhui ninayoweza kutumia na kutoa katika jukwaa la Arusha sio lazima iwe hivyo kwa bukoba mjini na maeneo mengine kadhaa wa kadha.
- Utamaduni wa kisiasa (Political culture) wa eneo husika
- Tabia ya upigaji kura (Voting behavior) kwa eneo husika.
Kwa hiyo namna nitakavyo ongea na maudhui nitakayo toa itategemea utamaduni wa kisiasa na tabia ya upigaji kura kwa eneo husika. Mwisho aliyezichanga vizuri ndiye huibuka mshindi.
Maoni ya msukuleHapa ni kwa aliyenacho na asiyekuwa nacho. Ingawa sijasomea Sayansi ya Jamii, mie naona yupo sahihi kwa kuwa katika utawala wake ameonyesha uthubutu kwa watanzania, ambao wengi siku za nyuma tulikuwa tunaimba. Hivyo lazima atawaambia wapiga kura yeye amefanya hiki na anataka kuendeleza kile ambacho ameanza kukitekeleza, kwa maoni yangu yupo sahihi.
Ndiyo maana katika uhakiki wa vyeti alikwepa kwasababu anamiliki phd fake"Nichagueni Mimi GENTAMYCINE si mmeona kabisa Maendeleo niliyowafanyia? Kamwe msiwachague hao Wahuni, wanaotumiwa na akina Trump na Johnson. Nichagueni tu Mimi GENTAMYCINE ambaye kiukweli ndiyo nayajua matatizo yenu makubwa na msiwachague kabisa hao wengine kwani ni Mafisadi, Waongo na hawana Uchungu na nchi yetu hii ya Malawi ya Kaskazini kabisa. Nichagueni Mimi GENTAMYCINE kwani ndiyo Masikini mwenzenu na kamwe msiwachague hawa Mawakala wa Mabeberu ambao wengi Wao huwa hawaishi Malawi ya Kaskazini na wala hawana nia njema nayo kabisa "
Sasa kama tu Mgombea 'Mshika Mpini' anazuia Wananchi wa Malawi ya Kaskazini wasiwachague 'Washindani' wake je, na Wao wasemeje labda?
Sawa kabisa...
Mathayo:13.14
Na neno la nabii Isaya linatimia kwao, likisema, Kusikia mtasikia, wala hamtaelewa; Kutazama mtatazama, wala hamtaona.
Mathayo:13.15
Maana mioyo ya watu hawa imekuwa mizito, Na kwa masikio yao hawasikii vema, Na macho yao wameyafumba; Wasije wakaona kwa macho yao, Wakasikia kwa masikio yao, Wakaelewa kwa mioyo yao, Wakaongoka, nikawaponya.
Wewe dogo huwa huwezi kubishana au kujibu hoja bila kumhusisha mzazi wa unayebishana naye, sijui ni ushamba au utoto unakusumbua.
😛 😛 Extreme mental retardation even such individual can not commit sin (Cretin=like Christ)