The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Uzinduzi huo ulifanyika Novemba 8, 2024 ukishuhudiwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro ambaye amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba, Anayansi Camejo na baadhi ya viongozi wengine kutoka mataifa yote mawili.
Picha: TBC
Picha: TBC