Mwalimu Nyerere aliyenibeba Mimi nilipozaliwa tu Agha Khan Hospital katika Mikono salama ya Masista Agatha na Brenda (akitokea Ikulu ya Magogoni baada ya kumaliza kumtia Adabu Nduli Idi Amin Dada kwa msaada mkubwa wa Mpambanaji Marehemu Musuguri aliyekuwa Uwanja wa Vita huko Uganda) na kuchagua niitwe jina la Pan Africanist mkubwa Barani Afrika na baada nikawa naenda Kucheza nae Msasani huku Dada yake (waliyependana mno) Theresia Nyakigi akiwa ananitembeza kule nyuma Kwake Baharini siyo huyu aliye katika hii Sanamu. Na ikiwezekana walioiandaa hii Sanamu upesi sana waende alipozikwa ili wakamuombe Radhi kwa Kumdhalilisha hivi.
Imeisha hiyo.........!!!!!!!