Mliotaka kufahamu sura yangu Paulina

Mliotaka kufahamu sura yangu Paulina

Kwa hiyo umeigeuzia chura kwa TV ukimaanisha TV ni zaidi ya sisi -me wa JF?
 
wengi mnoo mmekua mkija pm na kusema mnaumia sana hamnijui nipoje wengine mpaka mnatishia kuhama kabisa jamii forum kwa kua naficha sura yangu sasa IPO hivii:
nime amua kuweka picha yangu halisi (AVATAR)
huyo ndyo Mimi PAULINA...
.mtakao ni judge hovyo I DON'T CARE...
Taipu yangu. Kipotabo. Mnakuwaga na vinu virefu sana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti nasumbua wadada wengi PM, unaongea bila 'data' nakuhurumia aisee

Pole kwa kuwa hunijui vizuri tu

Usiponipenda wewe haidhuru kitu kwa kuwa hauwezi kupendwa na wote dunia hii

Mimi kutokuwa mkamilifu haikufanyi wewe uwe mtakatifu

Accept challenges usijione kila kitu upo sawa
Baby umekuwa mtunzi wa mashairi?
Mependa ulivyokwenda na vina [emoji4][emoji4][emoji4]
 
wengi mnoo mmekua mkija pm na kusema mnaumia sana hamnijui nipoje wengine mpaka mnatishia kuhama kabisa jamii forum kwa kua naficha sura yangu sasa IPO hivii:
nime amua kuweka picha yangu halisi (AVATAR)
huyo ndyo Mimi PAULINA...
.mtakao ni judge hovyo I DON'T CARE...
nyege bana
 
Njoo pm tuyajenge
 
Eti kuna watu wanataka kuhama JF kisa hawajaiona sura ya Paulina ray!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom