Mliotaka kufahamu sura yangu Paulina

Mliotaka kufahamu sura yangu Paulina

tena na wale wasiojulikana ndio machimbo yao huku... jisahau kule kwenye Jukwaa la Siasa umemkosoa kigogo fulani ukaja huku chitchat 'ukashoboka' kwa mlimbwende huyo PM ukasema hapa 'nimelamba dume' kumbe unaingizwa king kiulainii...hatimaye unapotezwa kisa tu tamaa za kichwa cha chini

Wakuu tuwe makini
Umenena mkuu
 
Kwa nini Jf inagoma ku-zoom in profile pictures? Hili suala linatuathiri sana washika dau.
 
Back
Top Bottom