Mliotaka kufahamu sura yangu Paulina

Inaonesha kabla ya kupiga hiyo picha ulijiandaa mama,huo unywele plus jicho kungu la kujiandaa.
 
Naona umeamua kuitangaza biashara yako kwa namna ya kipekee.... tehteehhh
 
Aiseee
 
Paulina umerahisisha picha ungerahisisha na namba sasa.
 
Hii Sura mbona ina badilika Mara kwa Mara!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…