Dogo G
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 1,052
- 440
Inaonesha kabla ya kupiga hiyo picha ulijiandaa mama,huo unywele plus jicho kungu la kujiandaa.Wengi mnoo mmekuwa mkija pm na kusema mnaumia sana hamnijui nipoje wengine mpaka mnatishia kuhama kabisa JamiiForums kwa kuwa naficha sura yangu sasa IPO hivii:
Nimeamua kuweka picha yangu halisi (AVATAR)
huyo ndyo Mimi PAULINA...
Mtakao ni judge hovyo I DON'T CARE...