Imepita wiki sasa baada ya Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kufunga pazia la kupokea maombi ya kazi ya ukusanyaji ushuru je, kuna mtu alishaitwa au connection ni muhimu pia.

Kama ni lile tangazo la kukuhitaji utume kupitia email ya gmail na unalipia fomu ujue ni wahuni. Serikali kuu au ya mitaa kama halmashauri kutumia gmail nadra sana. Na kama ndiyo hilo ni tangazo la muda mrefu sana toka mwaka jana mwishoni ila wanajifanya ku update tarehe tu