Villanova tito
Member
- Dec 20, 2016
- 96
- 115
Imepita wiki sasa baada ya Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kufunga pazia la kupokea maombi ya kazi ya ukusanyaji ushuru je, kuna mtu alishaitwa au connection ni muhimu pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni lile tangazo la kukuhitaji utume kupitia email ya gmail na unalipia fomu ujue ni wahuni. Serikali kuu au ya mitaa kama halmashauri kutumia gmail nadra sana. Na kama ndiyo hilo ni tangazo la muda mrefu sana toka mwaka jana mwishoni ila wanajifanya ku update tarehe tuImepita wiki sasa baada ya Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kufunga pazia la kupokea maombi ya kazi ya ukusanyaji ushuru je, kuna mtu alishaitwa au connection ni muhimu pia.
Mmeitwa Jana,, Fatilia UDARTImepita wiki sasa baada ya Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kufunga pazia la kupokea maombi ya kazi ya ukusanyaji ushuru je, kuna mtu alishaitwa au connection ni muhimu pia.