Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Hizo Taasisi hazijihusishi na utoaji wa mikopo … OGOPA MATAPELI
Hizo Taasisi hazijihusishi na utoaji wa mikopo … OGOPA MATAPELI
Kweli watanzania mtaendelea kutapeliwa milele amina.View attachment 2834843
kwahiyo hii n fake
Mkuu unashindwa kabisa kugundua hilo tangazo kuwa ni fake ? Check spelling errors zilivyo nyingi,View attachment 2834843
kwahiyo hii n fake
Mkuu unashindwa kabisa kugundua hilo tangazo kuwa ni fake ? Check spelling errors zilivyo nyingi,
Njoo upande mwingine hawajasema details muhimu,
Yan hapo hakuna ukweli, na Mo na Tulia wamesema mara nyingi sana kuwa wao hawahusiki na utapeli huo
Au umesha pigwa tayari mkuu??Wakuu nimepewa taarifa kuhusu mikopo kutoka kwene hzii taasisi Tulia foundation na Mo foundation. Nataka nijue kuna changamoto gani kwa mkopaji?
Je siyo kausha damu?
mkopo unalipika?
Kuna changamoto zozote ambazo zipo na hazisemwi?
Nb nimeona matangazo yao online inaonesha wana vigezo nafuu
Kweli watanzania mtaendelea kutapeliwa milele amina.
Yani kila siku mpo wa kutapeliwa
Mbona unaleta ubishi au wewe ndio tapeli mwenyewe?Je sawa acc inaweza kua fake lakini je hawa watajwa hawajihusishi na utoaji mikopo??
Na kam matapeli wanapata nn maana hamna sehemu wanadai pesa zaidi ya document
Mbona unaleta ubishi au wewe ndio tapeli mwenyewe?
Kila siku mnatangaziwa hizo taasisi hazijihusishi na mikopo ila wabongo sijui mna ujinga gani kichwani hamsikii na hamuelewi.
Au umesha pigwa tayari mkuu??
Watu wengine hawajitambui kabisa ndio maana matapeli hawaishi nchini kwani manyumbu ni mengi sana.we n'gombe ingia kichwa kichwa tu mjini
Anza process utajua tu, ubishi mwingi.Nataka nijue natapeliwaje na sijaombwa hela
Kumbe hujajua kuwa uko mbioni kutapeliwa?Sasa hapo mkuu nimetapeliwa kitu gan wao ndio wanakopesha na mimi sijatoa na wala sitoi ela yangu !!
Haya kakope.Natafuta logic ya utapeli hapo itakua ni nini??
Why? why ? why?
siwezi amini kila kitu lakini pia siwezi amini kila jibu