Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
- #21
Haya kakope.
sasa apo kukomoana??
lengo la kuleta humu ni kupata experience kwa waliokopa au wenye uzoefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya kakope.
Kumbe hujajua kuwa uko mbioni kutapeliwa?
Watu wengine hawajitambui kabisa ndio maana matapeli hawaishi nchini kwani manyumbu ni mengi sana.
Watu wengine hawajitambui kabisa ndio maana matapeli hawaishi nchini kwani manyumbu ni mengi sana.
Fb page nyingi fake
Natafuta logic ya utapeli hapo itakua ni nini??
Why? why ? why?
siwezi amini kila kitu lakini pia siwezi amini kila jibu
Mbona unashupaa shingo,au Wewe Ndo tapeli mwenyewe umekosa wafuasi FB sasa unakuja jf kwa great thinkers,pole
Kaombe utuletee mrejesho,zuzu ni weweusijua kutofautisha feki akaunti na verified akauntimimi siyo zuzu mkuu kama ww n zuzu ni ww??
Nauliza ni utapeli wa aina gani?? inakuaje na kama kuna mtu ashawai tapeliwa ??
Mpumbavu huamini kila jambo!! Usiwe mpumbavu kwasababu fulani kasema ndo uichukue kama kweli!!
Nahitaji nifanye uchunguzi na kukusanya taarifa za kutosha
mpaka sasa hamna ambae amesema hao walimtapeli au hamna aliyethibitisha kuchukua mkopo
Ndio unavyojipa moyo hivi. We ndezi tu.View attachment 2834858
Soma hapo
242 Million dollar
Mtu aliwauzia wazungu airport we unajikuta unaakili!
Kama tapeli wamejipanga hata hiyo nyumba unayoishi unaweza kuta wameforge kila kitu kuanzia majiran ,mwanasheria,na kila kitu siku unaambiwa tu walokuuzia hawatambuliki
[emoji736]Wake up usijione smart kiivo sema tuchukue taadhali kila inapobidi
Kuna possibility ya jamaa kuwa tapeli sasa anakuja kutuseti huku JF.kijana usha ambiwa uachane na hizo mambo lakin bado ume kaza shingo ngoja uwe FURSA tuta ishia kukucheka tuu
Tumekushtukia tapeli huyooooooooo. Hutupati ng'ooooooo.Mkuu tema mate chini??
hujafa hujaumbika siku watayokutapeli ww hutakuja kukili humu….. kila mtu anaweza tapeliwa inategemea tu matapeli wamejipangaje na wana mbinu kiasi gani
Kwaiyo usijione una akili ndio maana hutapeliwi!
Hatukatai utapeli wakijinga upo lakini chonde chonde chunga mdomo wako
Hakika tehama bado sana kwa tzView attachment 2834843
kwahiyo hii n fake
Ila wameridhia majina yao yatumikeHizo Taasisi hazijihusishi na utoaji wa mikopo … OGOPA MATAPELI
Tumekushtukia tapeli huyooooooooo. Hutupati ng'ooooooo.
Kaombe utuletee mrejesho,zuzu ni weweusijua kutofautisha feki akaunti na verified akaunti
Umetoka kijiji gani huko kanda ya ziwa? Karibu mjiniWakuu nimepewa taarifa kuhusu mikopo kutoka kwene hzii taasisi Tulia foundation na Mo foundation. Nataka nijue kuna changamoto gani kwa mkopaji?
Je, siyo kausha damu?
Mkopo unalipika?
Kuna changamoto zozote ambazo zipo na hazisemwi?
NB: Nimeona matangazo yao online inaonesha wana vigezo nafuu
Ungeenda ukope kwanza halafu ulete mrejesho hapaNatafuta logic ya utapeli hapo itakua ni nini??
Why? why ? why?
siwezi amini kila kitu lakini pia siwezi amini kila jibu