luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Kupitia dating site moja popualr sana hapa Afrika mashariki imenikutanisha na mdada mmoja toka kaskazin mwa Uganda toka, mji unaitwa LIRA ila anaishi Kampala coz anafanya kazi hapo Kampala.
Dada huyu yupo serious sanaa, ktk mipango yetu ya kuonana face to face ndipo nikaropoka mm ntakuwa wa kwanza kumtembelea basi dada huyu emenikaribisha kwake mwezi Dec, na huu mwaka nauona unakimbia kama umetumwa vile.
Wadau mlio wahi ku date na wadada toka uganda embu nipeni hints. Je wana maudambwi dambwi au watata kama wakora wa kikenya?