Mliowahi ku-date na wadada wa Kiganda njooni hapa

Mliowahi ku-date na wadada wa Kiganda njooni hapa

Uganda kuna demu wazuri na wa viwango kuliko Rwanda labda kama hujui uganda kila dizaini wapo usikalili watusi wa Rwanda tu wenyewe wana jitangaza kwa kujiuza tu

Hawajui waganda vizuri huyu itabid atembee tembee kidogo
 
Uganda kuna demu wazuri na wa viwango kuliko Rwanda labda kama hujui uganda kila dizaini wapo usikalili watusi wa Rwanda tu wenyewe wana jitangaza kwa kujiuza tu
Mademu wa Uganda Ni wa kiwango Cha changalawe 😄😄
 
Kupitia dating site moja popualr sana hapa Afrika mashariki imenikutanisha na mdada mmoja toka kaskazin mwa Uganda toka. mji unaitwa LIRA ila anaishi Kampala coz anafanya kazi hapo Kampala .

Dada huyu yupo serious sanaa, ktk mipango yetu ya kuonana face to face ndipo nikaropoka mm ntakuwa wa kwanza kumtembelea basi dada huyu emenikaribisha kwake mwezi Dec, na huu mwaka nauona unakimbia kama umetumwa vile.

Wadau mlio wahi ku date na wadada toka uganda embu nipeni hints Je wana maudambwi dambwi au watata kama wakora wa kikenya,

Kwao mikate imeadimika wameambiwa na Rais wao wale mihogo
 
Back
Top Bottom