Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Duh!!!,noma sana, Asante dada kwa kutupa ushuhuda.Nina kaka angu alioa ilibidi ajislimshe uhamiaji Wamsidie wamrudishe mdada kwao, ilikuwa hatari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!!!,noma sana, Asante dada kwa kutupa ushuhuda.Nina kaka angu alioa ilibidi ajislimshe uhamiaji Wamsidie wamrudishe mdada kwao, ilikuwa hatari.
Kaka yako alifanywaje shekh ?Nina kaka angu alioa ilibidi ajislimshe uhamiaji Wamsidie wamrudishe mdada kwao, ilikuwa hatari.
Hapo juu nishaelezeaKaka yako alifanywaje shekh ?
Kuna Sehemu inaitwa Wandegeya wenyewe wansita the city never sleep. Kuna totoz nyingi sana zinakuja kuka kuku choma paleOoh yeah unanikumbusha route zangu...Mutukula, kalisizo, kyotera, Masaka to Kampala(mji wa starehe) hapo utakutana na races kama zote!!!! Kampala madem wengi wanapenda starehe so jiandiae kuchunwa pesa mpaka ukose nauli ya kurudia TZ na kingine wapo sooo Natural, Alafu sio wachoyo wa papuchi na so kuwa makini!! Unanikumbusha maeneo kama Nakitete, Bweyogerere, Entebbe,Nsambya e.t.c
yes napajua pale ni spesho kwa kuku choma! Jamaa wanachoma kuku pale hatari..aiseeh waganda wanapenda stareheKuna Sehemu inaitwa Wandegeya wenyewe wansita the city never sleep. Kuna totoz nyingi sana zinakuja kuka kuku choma pale
Yule mzee mshenzi sana alafu anakazia kwa kusema mbona hata mimi nakula mihogo[emoji23][emoji23]Kwao mikate imeadimika wameambiwa na Rais wao wale mihogo
Nimegonga sana kuku pale; yaani hata uende saa tisa usiku vyuku vya kutosha.yes napajua pale ni spesho kwa kuku choma! Jamaa wanachoma kuku pale hatari..aiseeh waganda wanapenda starehe
mademu wote wa kiganda wanaoenda wapelekwe pale!! Alafu pembeni yake kuna sehem moja maarufu sema nimepasahu pako clasic watu wanakula bata tuNimegonga sana kuku pale; yaani hata uende saa tisa usiku vyuku vya kutosha.
Yaani ile ilikuwa stop over yangu nikiwa nakwenda au natoka zangu Ntinda kula bata
So, aandae mpira😊wana maji
Ukikutana na msomi wanakuwaga smart sana ila wanapenda sana starehe,pesa, kutolewa maji..
😂😂ila siku unamletea ushenzi anakukata kichwa
Malaya kwa malaya nafikiri ngoma droo.Unahangaika Na Malaya....madem wote wa tinder Ni Malaya
Hayo majini yanayojua kuandika nafikiri yameendekea sio mbaya[emoji23]Unaingia online unatafuta wanawake? Utaibuka na majini huko…
Umeongea utumbo mtupu.Uzuri wa waganda wana.sifa za kuwa na mishape asilia ...sio ya ku force, alafu uwezi kuta binti ana chunusi wala ukurutu, hata sielewag wanatumiaga nn wale watu.,..
Hata wahaya , wanyambo wanaiyo sifa hapa Tz,
Ug pia mademu wao ni wakarimu sanaa. Hawanaga mambo ya vizinga, alafu wana heshima kwa waume zao balaa
Huyu dada mm na chat nae mwez wa 2 sasa lkn yupo loyal sanaa, kama sijaweka data aisee ananipigiaga direct call kabisaa
Niwashauri tu majibaba wenzangu tuachane na hawa wakora wa kimakonde, wazigua, wagogo, wasegeju, wabondei, wapare, wachaga, wasukuma, wajita, wa iraq ..wabakie hapa wazurureee mpaka wajute ..majibaba twendeni UGANDA yaan tufike mapema hata kabla ya EACOP halija amza kuleta mafuta hapa
😆😆😆😂😂😂Umeongea utumbo mtupu.
Sasa kupigiwa simu na unyenyekevu feki wa mtandaoni ndio umekufa kiasi hiki?.
Kwa taarifa yako kwa herufi kubwa;
WANAWAKE WA KITANZANIA NI BORA SANA DUNIANI.
Mabinti zetu ni wasikivu na wanyenyekevu.
Hao unaowaona bora ipo siku utakuja na mrejesho HASI.
Inavyoonyesha wewe bado mshamba sana katika kuchangamana na kuingiliana na mataifa.
Mabinti zetu wana shida ndogo ndogo tu zinazorekebishika kuliko mataifa mengine.
Kwa ajili ya kazi nimechangamana na kuingiliana na mataifa mengi...wake zao ni mizigo ya vinyesi.
Hao Waganda ole wako mtofautiane kidogo hakuna rangi utaacha kuona.
Humu huwa naona watu wanachanganyikiwa na Warwanda pia nao ni shida tupu.
Kweli mkuu wewe ukahangaike huko ipo siku utaungana nami.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
Izo changamoto ndogo ndogo ndio gap lenyewe ilo na push factor ni izo izo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dah umenichekesha
Hilo kweliDemu wakiganda wengi ni wasomi pia wako kisasa zaidi, lakini jambo muhimu jiendae na pesa ya kutosha wanapenda sitarehe sana
Naskia kuna sehemu Uganda huko wanakula nyama za watu hebu gugo bro usije ukapunguaTuombe uzima kaka mwezi December niende ..hakika sito waangusha majibaba ya Tz ,.... Yaaan nitakwajua mbususumpaka iombe msamaha
Ila dogo anaupiga mwingi huwez kumdhania 😀😀😀teh yule mwingine alikua anaonekana kama shangazi yake