cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa si bora kuimport Rwanda jamani... kuondoka tiziii kwenda ug ni kushuka kwenye range ukadandie ki passo buana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa si bora kuimport Rwanda jamani... kuondoka tiziii kwenda ug ni kushuka kwenye range ukadandie ki passo buana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]Wababe sana ukimletea ujinga hachelewi kutoa hizo biringanya zako.
Umejuaje??.Tupe uzoefu.Wababe sana ukimletea ujinga hachelewi kutoa hizo biringanya zako.
Nakushauri mwambie yeye aje au mkutane kwanza Busia au Malaba border mtumie night 2 hapo boda ndio msepe Nakulabye au Kansanga, Mulagawa Kpla inomic tuyindalaKupitia dating site moja popualr sana hapa Afrika mashariki imenikutanisha na mdada mmoja toka kaskazin mwa Uganda toka. mji unaitwa LIRA ila anaishi Kampala coz anafanya kazi hapo Kampala .
Dada huyu yupo serious sanaa, ktk mipango yetu ya kuonana face to face ndipo nikaropoka mm ntakuwa wa kwanza kumtembelea basi dada huyu emenikaribisha kwake mwezi Dec, na huu mwaka nauona unakimbia kama umetumwa vile.
Wadau mlio wahi ku date na wadada toka uganda embu nipeni hints Je wana maudambwi dambwi au watata kama wakora wa kikenya,
Northerners esp.the Lang'o ladies from Lira are good and wanatupenda wabongo nina imani na huyo demu kbsa ajiandae kwa moyo mweupe kbsaWewe kweli unawajua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha mmoja alikuja tz na mwanae nikawa naishi nae alikua alikua anafundisha shule zetu hizi za english medium alikua smart sana alitengezewa zengwe ya work permit na mkuu wa shule kisa alitaka apandishiwe mshahara wazazi walimpenda sana kusikia hayupo wengi walihamisha watoto, ikambidi arudi kwao na mafao yake mpaka leo hakuchukua, huwa anakuja kunisalimia amenikuta tayari na familia
Si useme tu Kama Zari Mama Watoto wa Mond hadi wameshindwana!!!Demu wakiganda wengi ni wasomi pia wako kisasa zaidi, lakini jambo muhimu jiendae na pesa ya kutosha wanapenda sitarehe sana
Mapenzi ni upofu!!!Hivi warembo woote kweli hapa nyumbani haujaona we jamaa??
Busia, malaba huo nipaka wa Ug na kenya..mzee au weye ni mkenya ?Nakushauri mwambie yeye aje au mkutane kwanza Busia au Malaba border mtumie night 2 hapo boda ndio msepe Nakulabye au Kansanga, Mulagawa Kpla inomic tuyindala
Na yy ni lang'ii ...ananiambia wana chemistry na wa luo toka Kenya, ww jamaa kweli unawajua .. eh vipi hawa wa lang'ii na wao wana mwaga mimaji on bed mkuu ?I have one from kitgum , Perviously I dated a lang'ii and another from tesso and westnile regions wanachemistry na sie wabongo kbsa best of luck comrade
Eh mzee mbaba DRC tena pale ni kusaka jiwe tu...Maana halisi ya EAC ukimaliza nenda Kongo pia mkuu katuwakilishe ufanye utafiti kabla wenzio hatujaja
Uzuri wa waganda wana.sifa za kuwa na mishape asilia ...sio ya ku force, alafu uwezi kuta binti ana chunusi wala ukurutu, hata sielewag wanatumiaga nn wale watu.,..Mademu wa Uganda Ni wa kiwango Cha changalawe 😄😄
Tuombe uzima kaka mwezi December niende ..hakika sito waangusha majibaba ya Tz ,.... Yaaan nitakwajua mbususumpaka iombe msamahaUsisahau mrejesho,
Nipo hapa nausubiri
Kupitia dating site moja popualr sana hapa Afrika mashariki imenikutanisha na mdada mmoja toka kaskazin mwa Uganda toka. mji unaitwa LIRA ila anaishi Kampala coz anafanya kazi hapo Kampala .
Dada huyu yupo serious sanaa, ktk mipango yetu ya kuonana face to face ndipo nikaropoka mm ntakuwa wa kwanza kumtembelea basi dada huyu emenikaribisha kwake mwezi Dec, na huu mwaka nauona unakimbia kama umetumwa vile.
Wadau mlio wahi ku date na wadada toka uganda embu nipeni hints Je wana maudambwi dambwi au watata kama wakora wa kikenya,
hawana maajabu buanaEvelyn….unawajua waganda lakn au unatype tu ndugu yangu….
teh yule mwingine alikua anaonekana kama shangazi yakeMnyamwezi kang'oa mwingine dogodogo sahv simchezo
Nina kaka angu alioa ilibidi ajislimshe uhamiaji Wamsidie wamrudishe mdada kwao, ilikuwa hatari.Umejuaje??.Tupe uzoefu.