luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Natia mkazo....Site gani iyo na sisi tuzamie!
Natia mkazo....
NakaziaaaaSite gani iyo na sisi tuzamie!
Wwe.comNatia mkazo....
Dating site ipiKuna manzi nilikutana nae Kwenye dating site yupo Uganda tuna chemistry nzuri sanaa yupo romantic
Wewe kweli unawajua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha mmoja alikuja tz na mwanae nikawa naishi nae alikua alikua anafundisha shule zetu hizi za english medium alikua smart sana alitengezewa zengwe ya work permit na mkuu wa shule kisa alitaka apandishiwe mshahara wazazi walimpenda sana kusikia hayupo wengi walihamisha watoto, ikambidi arudi kwao na mafao yake mpaka leo hakuchukua, huwa anakuja kunisalimia amenikuta tayari na familiaDemu wakiganda wengi ni wasomi pia wako kisasa zaidi, lakini jambo muhimu jiendae na pesa ya kutosha wanapenda sitarehe sana
Kupitia dating site moja popualr sana hapa Afrika mashariki imenikutanisha na mdada mmoja toka kaskazin mwa Uganda toka.mji unaitwa LIRA ila anaishi Kampala coz anafanya kazi hapo kampala
Dada huyu yupo serious sanaa, ktk mipango yetu ya kuonana face to face ndipo nikaropoka mm ntakuwa wa kwanza kumtembelea basi dada huyu emenikaribisha kwake mwezi Dec, na huu mwaka nauona unakimbia kama umetumwa vile
Wadau mlio wahi ku date na wadada toka uganda embu nipeni hints Je wana maudambwi dambwi au watata kama wakora wa kikenya,
wana mambo ya ajabu sana, usiniulize yapi. utajionea mwenyeweKupitia dating site moja popualr sana hapa Afrika mashariki imenikutanisha na mdada mmoja toka kaskazin mwa Uganda toka.mji unaitwa LIRA ila anaishi Kampala coz anafanya kazi hapo kampala
Dada huyu yupo serious sanaa, ktk mipango yetu ya kuonana face to face ndipo nikaropoka mm ntakuwa wa kwanza kumtembelea basi dada huyu emenikaribisha kwake mwezi Dec, na huu mwaka nauona unakimbia kama umetumwa vile
Wadau mlio wahi ku date na wadada toka uganda embu nipeni hints Je wana maudambwi dambwi au watata kama wakora wa kikenya,
Mtaalamu [emoji4]Natia mkazo....
Ahh jamni hebu taratibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ipi hiyo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] atutajie kwan tukajionee na sie.Ahh jamni hebu taratibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itakuwa ya mambo ya mahusiano wa afrika masharikiSite gani iyo na sisi tuzamie!
Nataka nikaachapo walau ka afande katarajiwa kakuja kumsumbua General Mughuzi akichukua nchiNa sio wachoyo kwenye papuch usije ukaliangusha Taifa ukapga peku wengi wana moto
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app