Mliowahi ku-date na wadada wa Kiganda njooni hapa

Hapo masaka nimetafuna toto la kiganda ,kuna mji mwingine unaitwa Mbarara napo nimegonga gonga sana ,wsganda siyo wachoyo kwa kweli
Hata hapo mbarara kupitia iyo iyo app, nimempata mmoja pia ila huyo wa mbarara hayupo emotional sanaa kama huyu wa kampala, ila nasikia hapo mbarara ndio nyumban kwa wale wa ganda wenye asili ya kinyarwanda .....Si ni sahihi mkuu Last KING Ontuzu
 
Kila la kheri, wanahasira za kuwagonga kwenye vita ya Kagera...
 
Hata hapo mbarara kupitia iyo iyo app, nimempata mmoja pia ila huyo wa mbarara hayupo emotional sanaa kama huyu wa kampala, ila nasikia hapo mbarara ndio nyumban kwa wale wa ganda wenye asili ya kinyarwanda .....Si ni sahihi mkuu Last KING Ontuzu
Ni kweli mkuu, ndiyo asili yao hao jamii ya M7.
 
Mkuu unaweza kunitumia hiyo website pm[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
hawa huwa wanalala na wanaume ovyo ovyo alafu kukojoa katika tendo la ndoa
 
That's fact mkuu ni wa kuluka bata kinoma alafu wako very understanding na pia wasikivu kuliko hao wakora wa Jomo Kenyatta ni shida nusu nife kibudu kudadeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…