Elon Mzebuluni
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 225
- 139
Kwa hatua mzigo ulipofikia myus hawahusikiEb wacheck MYUS kwa kuptia email yao
DooohKwa hatua mzigo ulipofikia myus hawahusiki
Ni swala lainaleta meseji ya Clearance delay- import.
Clearance instructions from the importer are required. Importer must provide instructions.
Nimeambatanisha na picha hapo.
Myus walitumia fedex kusafirisha bidhaa kuja TZ so inabidi niwasiliane na hao fedex?Ni swala la
Nini cha kufanya
- Clearance
- Malipo ya tozo [ VAT / TAX ]
- Piga simu kwa kampuni iliyohuiska kukusafirishia, wape tracking number na watakupa mwongozo hatua kwa hatua, utalipia ghrama zote zinazopaswa kulipia.
Sahihi, FEDEX ndio watashughulika na taratibu zote za clearance, hadi mzigo wako unakuwa tayari kwa kuchukuliwa.Myus walitumia fedex kusafirisha bidhaa kuja TZ so inabidi niwasiliane na hao fedex?
Hakuna namnaHapo jiandae kutoa laki kama mbili hivi kwa ajili ya clearance
Bidhaa niliyohitaji kikuu haipatikaniSi bora uagize kikuu tu hakuna haya mausumbufu?
Kikuu wako poa sana, toka mzigo wangu wa aliexpress upotee kimasihara, nimeweka kambi kikuu.Si bora uagize kikuu tu hakuna haya mausumbufu?
Nashangaa hakuna kampuni la marekani linalowafikia....Au wanadharau soko la Africa?Kikuu wako poa sana, toka mzigo wangu wa aliexpress upotee kimasihara, nimeweka kambi kikuu.
Asante sana mkuu, ngoja nifuatilie nitaleta mrejeshoSahihi, FEDEX ndio watashughulika na taratibu zote za clearance, hadi mzigo wako unakuwa tayari kwa kuchukuliwa.
- Google "Customer Support | FedEx Tanzania" chukua namba kisha wapigie.
Ni swala la
Nini cha kufanya
- Clearance
- Malipo ya tozo [ VAT / TAX ]
- Piga simu kwa kampuni iliyohuiska kukusafirishia, wape tracking number na watakupa mwongozo hatua kwa hatua, utalipia
Mkuu nimefanikiwa kuwapata, je unashauri nitumie hao hao fedex kufanya clearance au nitumie broker mwingine kufanya clearance. Maana wamenipa options wao au wengine.Sahihi, FEDEX ndio watashughulika na taratibu zote za clearance, hadi mzigo wako unakuwa tayari kwa kuchukuliwa.
- Google "Customer Support | FedEx Tanzania" chukua namba kisha wapigie.
Hapo utakuwa hujatatua tatizo la gharama.je unashauri nitumie hao hao fedex kufanya clearance au nitumie broker mwingine