Mkuu... Unaweza ukatupa hizo kanuni za mikopo? Just briefly.Duh! Mkuu pole sana.. Very interesting story ingawa hukusema alikopa kiasi gani..
Kwa ujumla mikopo ina kanuni zake.
Kwanza, usikope for biashara mpya unless ni long term.
Pili, usikope kwa kushawishiwa, kopa kama biashara inahitaji hvyo, tena kiasi sahihi, na kuna hesabu zake.
Unaeza kuta mtu ana biashara ya mtaji wa kama m30, biashara inahitaji jeki (working capital) ya 4m, anaenda kuchukua 15m. Maana yake 11m itakuwa idle au itatumiwa kwny mambo tofauti. Deni kama hilo halilipiki kamwe.
Pia, deni ya muda mfupi ikizidi 20% ya mtaji inakuwa kama kamari.
Kingine, usithubutu kuweka dhamana nyumba unayoishi, tumia kiwanja, shamba au nyumba ya ziada. Hii itakuepusha na ugonjwa wa moyo.
Kumbuka pia, kama umeamua kujilipua na mkopo, ni afadhali benki (au Saccos za jumuia kwa mikopo midogo) kuliko ki-microfinance cha mtu.. wanasema kwny hizi micro, mkopeshaji akipenda dhamana uliyoweka ataichukua tu.. Na pia usisahau kuelewa na kujiridhisha na masharti yote ya mkopo kabla ya kujifunga kwny mkataba
Vipi kama ni mkopo usio na riba kabisa?Watu Wauchumi wanasema Hivi. Mikopo siyo Njia Sahihi ya Kujikwamua Kimaisha...
Kama Una akili Fikiria Hili. Mie huwa nakwepa sana Mikopo
Huo mkopo gani usio na riba ? Na anayetoa anapata faida ganiVipi kama ni mkopo usio na riba kabisa?
Huenda ni Jamaa wa karibu, na atataka urudishe tu kama vile vile alivyokupa.Huo mkopo gani usio na riba ? Na anayetoa anapata faida gani
kama unaona utayumba sana omba wakufanyie restructure ya mkopo rejesho lipungue Ingawa utalipa hela nyingi ila itakuwa ni afadhali kuliko kuhatarisha dhamana. Ni benki gani hiyoNaomba mnipe ufafanuzi zaidi wajuzi,,, nimekopa benk flani nimelipa mkopo wangu kwa asilimia 70% Biashara imeyumba kidogo na nimewandikia barua kuwa mzunguko umekuwa mdogo je hili linaweza kuniletea shida? Kama kuuza dhamani nk?
Ongezea na kujua aina ya mkopo unaotaka kuchukua,kuna mtu alichukua overdraft akaitumia kama term loan , deni linamsumbua tu,Yaan Leo nimetoka kupiga passport tayar Kwa kuelekea NMB kukopa, nimesoma comments za wadau Kwa makini saana.Nimejifunza ifuatavyo;-
1. Kopa Kwa lengo maalum.
2. Kopa Kwa lengo la kibiashara ili uweze kulipa P+I na hatamaye kubak na faida.
3. Hata Kama unauwezo wa kukopa kiasi kikubwa benk lakin kopa kiasi kile tu unachohitaji.
Kutokana na hayo itabid Kwanza kesho nihairishe kwenda benk Hadi hapo nitakapojika amri nyingine.πππ
Acha kujitoa ufahamu wewe.Narudia tena, wote manolalamika kuwa Awamu hii hakuna pesa, mlikuwa wapiga deal, pesa zimerudi kwa watu waliokuwa wanazipata kihalali, ridhika na hicho unachopata, ndicho kilitakiwa kuwa halali yako tangu Awamu zilizotangulia.
Inawezekana mkuuHuenda ni Jamaa wa karibu, na atataka urudishe tu kama vile vile alivyokupa.
Mkuu ukisema operation unamanisha nnKwanza kabisa kukopa si kubaya=ni sawa na kuchukua pesa za watu na kufanyia kazi so ni kitu kizuri.Ukitoka kwenye mkopo maana yake kiwango chako cha kukua na kuzalisha ni kibaya.Kuna aina nyingi ya mikopo ikiwamo overdraft ambao ndio mkopo mzuri kwani huu unatumia na kulipia kile kiasi unachotaka.Kwa kawaida mfanya biashara anatakwa akikopa mkopo mkubwa ambao sio fixed basi uende kwenye asset au capita expenditure na akikopa mkopo wa operational basi uwe overdraft.Sasa ndugu yangu mkopo wako umeenda kwenye asset purchase ama umeenda kwenye operations?Ukinijibu hilo nitakupa njia ya kujinasua
Wale ni mbwembwe tu hawanaga lolote zaid ya kukatisha wenzao tamaa.achana na wachumi mpe biashara uone wale wanajua chambua uchumi hamna kitu
Ni mkopo ambao unalipia mishahara na gharama nyingine za uzalishaji ambazo hazihusiani na mtaji.aka gharama za uendeshajiMkuu ukisema operation unamanisha nn
Mkuu mbona ata barabara unayotumia ni ya mkopo?Iyo mikopo tuna ngangania tu, ila Mwenyezi Mungu kayakataza hayo...(riba) Familia nyingi leo zinapitia wakati mgumu sana. Wazungu watatuletea mengi sana...