Mliowahi kupata ajali mliwezaje kurudi kwenye maisha yenu ya kawaida bila kuweweseka usiku?

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Miaka miwili iliyopita nilisababisha ajali ya barabarani maeneo ya Gairo iliyogharimu uhai wa mmasai mmoja na ng'ombe zake watatu.ila mpaka leo naweweseka sana usiku silali ndoto na reflection za ile ajali bado zinanitesa, mliowahi kukutana na changamoto kama hii mliwezaje kurudi sawa.
 
Miaka miwili iliyopita nilisababisha ajali ya barabarani maeneo ya Gairo iliyogharimu uhai wa mmasai mmoja na ng'ombe zake watatu.ila mpaka leo naweweseka sana usiku silali ndoto na reflection za ile ajali bado zinanitesa,mliowahi kukutana na changamoto kama hii mliwezaje kurudi sawa
KWANN wamefuata Uzi wako wa mauaji

Moderator Mhariri Maxence Melo

Huyu mwamba alileta Uzi mzuri tuu nashangaa mmeufuta
 
Silikula nyama nyingi lakini haukusahau tuuu ila K bant
 
KWANN wamefuata Uzi wako wa mauaji

Moderator Mhariri Maxence Melo

Huyu mwamba alileta Uzi mzuri tuu nashangaa mmeufuta
Jf wamesajili kiungo mpiga ban na mfuta nyuzi,mshana,na watakatifu wote wamelamba ban, sembuse mimi ila nyuzi kutindua mitaro kimasihara wanazifuatilia sana nao wanazipenda
 
Jf wamesajili kiungo mpiga ban na mfuta nyuzi,mshana,pasco na watakatifu wote wamelamba ban, sembuse mimi ila nyuzi kutindua mitaro kimasihara wanazifuatilia sana nao wanazipenda
P
Screenshot_20210914-140904.jpg

Naww umetoka kwa ban nn
 
Jf wamesajili kiungo mpiga ban na mfuta nyuzi,mshana,pasco na watakatifu wote wamelamba ban, sembuse mimi ila nyuzi kutindua mitaro kimasihara wanazifuatilia sana nao wanazipenda

😀😀😀

Eti watakatifu.
 
Hiyo ni post traumatic stress disorder PTSD. Haiwapati wote, kamuone mwanasaikolojia.
 
Miaka miwili iliyopita nilisababisha ajali ya barabarani maeneo ya Gairo iliyogharimu uhai wa mmasai mmoja na ng'ombe zake watatu.ila mpaka leo naweweseka sana usiku silali ndoto na reflection za ile ajali bado zinanitesa, mliowahi kukutana na changamoto kama hii mliwezaje kurudi sawa.
Naona uzi wako wa jana wa kuua na kukimbia kisha kurudi kula nyama msibani bila wahisika kujua ulifutwa.
 
Jf wamesajili kiungo mpiga ban na mfuta nyuzi,mshana,pasco na watakatifu wote wamelamba ban, sembuse mimi ila nyuzi kutindua mitaro kimasihara wanazifuatilia sana nao wanazipenda
Kuna mpiga ban yupo kwenye orientation kwahiyo anafanya ku impress maboss.

Ohoo nisije na mimi kupigwa ban.
 
Jf wamesajili kiungo mpiga ban na mfuta nyuzi,mshana,pasco na watakatifu wote wamelamba ban, sembuse mimi ila nyuzi kutindua mitaro kimasihara wanazifuatilia sana nao wanazipenda
Mshana Jr kala ban..??

He is around.
 
Back
Top Bottom