KWANN wamefuata Uzi wako wa mauajiMiaka miwili iliyopita nilisababisha ajali ya barabarani maeneo ya Gairo iliyogharimu uhai wa mmasai mmoja na ng'ombe zake watatu.ila mpaka leo naweweseka sana usiku silali ndoto na reflection za ile ajali bado zinanitesa,mliowahi kukutana na changamoto kama hii mliwezaje kurudi sawa
Silikula nyama nyingi lakini haukusahau tuuu ila K bantMiaka miwili iliyopita nilisababisha ajali ya barabarani maeneo ya Gairo iliyogharimu uhai wa mmasai mmoja na ng'ombe zake watatu.ila mpaka leo naweweseka sana usiku silali ndoto na reflection za ile ajali bado zinanitesa,mliowahi kukutana na changamoto kama hii mliwezaje kurudi sawa
Jf wamesajili kiungo mpiga ban na mfuta nyuzi,mshana,na watakatifu wote wamelamba ban, sembuse mimi ila nyuzi kutindua mitaro kimasihara wanazifuatilia sana nao wanazipendaKWANN wamefuata Uzi wako wa mauaji
Moderator Mhariri Maxence Melo
Huyu mwamba alileta Uzi mzuri tuu nashangaa mmeufuta
ACHA KABISA MIMI KILA NYUZI NIKIICHOMOA BAN SIO LA NCHI HII NILITAKA NIPASUE SIMUJf wamesajili kiungo mpiga ban na mfuta nyuzi,mshana,pasco na watakatifu wote wamelamba ban.ila kutindua mitaro kimasihara hawafuti wala
PJf wamesajili kiungo mpiga ban na mfuta nyuzi,mshana,pasco na watakatifu wote wamelamba ban, sembuse mimi ila nyuzi kutindua mitaro kimasihara wanazifuatilia sana nao wanazipenda
Jf wamesajili kiungo mpiga ban na mfuta nyuzi,mshana,pasco na watakatifu wote wamelamba ban, sembuse mimi ila nyuzi kutindua mitaro kimasihara wanazifuatilia sana nao wanazipenda
Naona uzi wako wa jana wa kuua na kukimbia kisha kurudi kula nyama msibani bila wahisika kujua ulifutwa.Miaka miwili iliyopita nilisababisha ajali ya barabarani maeneo ya Gairo iliyogharimu uhai wa mmasai mmoja na ng'ombe zake watatu.ila mpaka leo naweweseka sana usiku silali ndoto na reflection za ile ajali bado zinanitesa, mliowahi kukutana na changamoto kama hii mliwezaje kurudi sawa.
Kuna mpiga ban yupo kwenye orientation kwahiyo anafanya ku impress maboss.Jf wamesajili kiungo mpiga ban na mfuta nyuzi,mshana,pasco na watakatifu wote wamelamba ban, sembuse mimi ila nyuzi kutindua mitaro kimasihara wanazifuatilia sana nao wanazipenda
Niliuona nashangaa PAAAP no idNaona uzi wako wa jana wa kuua na kukimbia kisha kurudi kula nyama msibani bila wahisika kujua ulifutwa.