Mliowahi kupigana darasani leteni ushuhuda wenu hapa

Usiombe upigane na kijana muoga! Siku zote huwa shabiki ila ikafika siku namie nikapambanishwa na mnyonge wangu kijana wa mwenye mabasi ya BM Coach yale dogo anaitwa Blasius Makundi!

Hii ilinitokea mzee nilikula gumi la pua nikaanza kuvuja damu nikaamua nitoke dima tu 😅😅😅 nilikuwaga namjambisha tu mikwara mingi ila ngumi sijui aisee nilisepa kesho ikawa gumzo wahuni wote class walinivua vyeo maana nilikuwa cheerleader!
 
[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikuwa kachokozi ila nina mbio hatari, hivyo kunikamata unipige utasubiri sana. Nguvu zenyewe za kupigana sina.
Bora ulijiimarisha kwenye riadha maana ungepasuka sana na kidomo domo kile 😅
 
Bora ulijiimarisha kwenye riadha maana ungepasuka sana na kidomo domo kile [emoji28]
Hahaaa! Halafu hata sikuwa na kidomo domo. Kapoleee katoto ka watu, sina makuu na mtu[emoji6]
 
Nakumbuka dogo mmoja niliwahi muoshea mtoto wa kiarabu nilimtia buti la mapumbu akalia sana. Ilikuwa std 3 hio nikawa naheshimika sana toka siku hio 😅😅😅 nikapelekwa staff like a pro kutiwa discpline na wajuba 😅
 
Nakumbuka dogo mmoja niliwahi muoshea mtoto wa kiarabu nilimtia buti la mapumbu akalia sana. Ilikuwa std 3 hio nikawa naheshimika sana toka siku hio [emoji28][emoji28][emoji28] nikapelekwa staff like a pro kutiwa discpline na wajuba [emoji28]
Noma sana
 
Nakumbuka kuna chalii mmoja alikuwa mbabe sana kwangu siku hiyo ujasiri ukanijaa amenila hela kwenye kamali ya kichwa mwenge halafu ananicheka c'se ananiweza

Nilisimama kama dk 5 natafakari hela nimeiba home halafu mtu ananila anacheka nikirudi home naenda kuchezea nikasema isiwe kesi nikampa roba ya nikijikologa nimekunya hadi nikasikia anaanza kukoroma nikatuma mkono mfukon nikazoa salary zote nikatimua mbio home wiki bila kwenda shule nazuga naumwa

Kuja kwenda nikabeba maziwa mgando kwenda kumpoza na dharau zikaisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Zawadi hakukataa?
 
Hivi Herry bado yupo?!
 
Vipi hamkumbushiani jinsi mlivozichapa😂😂 movie ikirudiwa je una zile nguvu tena za kuwapiga wote wawili?😀
Huw tunakumbushian tu ila tukipigana tena ata akija mmja wao tu ataniua maan mmja ni Master wa karate mwingine askari
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aah enzi za primary nilishawahi kupigwa vibaya mixer kuangushwa chini na mwenzangu mfupii, sababu ya ufupi wake nilihisi ntammudu ntamdunda wee, kuanzia hapo nikawa muoga zaidi nikisikia dalili ya ugomvi natoka speed kwenda home[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…