Mliowahi kutumia “Forever Living Product” Je ziliwasaidia?

Mliowahi kutumia “Forever Living Product” Je ziliwasaidia?

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
3,925
Reaction score
8,853
Ni zaidi ya Miaka 10 sasa naona hizi Product zao lakini nimekuwa naogopa sana kuzitumia.
Naomba ushuhuda kwa mliowahi kuzitumia kama ziliwasaidia?

Na Je zimethibitishwa na Mamlaka husika?
 
Sijawahi tumia ila naona zinauzwa bei sana pia hio ni aina fulani ya utapeli kwa vijana kama ule wa alliance global nk
Mawakala wao mtaji wao ni suti kali na clarks kali sana ila ukijichanganya utapoteza akili pesa na muda
Serikali inazitambua?
 
Back
Top Bottom