Mliowahi kutumia “Forever Living Product” Je ziliwasaidia?

Kusaidia nini ? Products zao nyingi ni supplements na pia kuna deodorant na dawa ya mswaki sasa ukipaka deodorant unatak upate nini ?

Ni sawasawa ukiuliza waliotumia dawa za mswaki ziliwasaidia....
 
Aisee kuna mzigo hapa😁

1000012520.jpg
 
Kusaidia nini ? Products zao nyingi ni supplements na pia kuna deodorant na dawa ya mswaki sasa ukipaka deodorant unatak upate nini ?

Ni sawasawa ukiuliza waliotumia dawa za mswaki ziliwasaidia....
Wana Dawa za kutibu magonjwa mbalimbali ndo Nataka kujua kama walipona
 
Back
Top Bottom