Mliowahi kutumia “Forever Living Product” Je ziliwasaidia?

Wamekaa ki marketing sana.

Ndio hawa wanaitwa multi-level marketing company kama qnet n.k
ukishaona kampuni inauza dawa ya kuboost mjegeje, ujue baas....
1724002304262.png
 
Wana Dawa za kutibu magonjwa mbalimbali ndo Nataka kujua kama walipona
Wauzaji wengi ni oversellers kwahio watakudanganya sababu hawauzi products per se bali wanauza biashara ila kama nilivyosema products zao nyingi ni suppliments kwahio ukichukua ile aloe vera juice ni kama aloe vera tu..., ukichukua asali ya nyuki wadogo ni asali ya nyuki wadogo ila kwa bei yake sidhani kama ni value for money kwa maisha ya mtanzania
 
Wanasema zimeongezewa thamani
 
Supplements zikuponyeshe? Hizo zinakupa nafuu tu kwa muda na ukiacha unaendelea kuumwa na supplements zingine feki na zingine zime expire, ni kupoteza fedha na muda hakuna kitu, ukiumwa wahi hospitalini, achaneni na matapeli hao.
 
Asante 🙏
 
Wanasema zimeongezewa thamani
Bei zao sio rafiki labda lips, dawa ya mswaki na deodorant nyingine ni overpriced ukizingatia kipato cha mtanzania, tafuta alternatives au tumia real thing badala ya suppliment
 
Back
Top Bottom