Asante kwa ushaurifixed ni kwanzia miezi 6 nbc ndo the best kwa fixed kiasi ni chochote ila iwe ndefu ndefu kidogo kuna return utapata
Asante kwa ushauri nitaufanyia kazi!UTT ni nini?Faida ni kidogo sana
Mfano NMB ukiweka fixed deposit ya TShs 10,000,000/=
Unapewa faida ya 6% kwa mwaka mmoja
Mwisho wa mwaka utapata faida almost TShs 600,000/=
Ukija kuondoa kodi hapo unabaki na kama TShs 530,000/=
N ukijakuwekeza UTT faida inakua approximately mara mbili (10% mpaka 15%) ya hizo fixed deposits.
All the best [emoji1545]
Riba ipoje --- haipo fixed, ukienda kinyonge na kishamba wanakula kichwaMliowahi weka fedha zenu kwenye akaunti ya muda maalumu Ninaomba ushauri wenu!!Riba ikoje,kwa kiwango gani na kwa muda gani?Benki ipi ni nzuri!Naomba ufafanuzi hasa kwenu nyie ambao mlishatumia akaunti hiyo!!Nilijaribu kupita benki kadhaa nilichogundua kila benki inavutia kwake!
Ni mfuko wa kuwekeza pesa unaoendeshwa serikali.Asante kwa ushauri nitaufanyia kazi!UTT ni nini?
Sawa,sasa hii ni benki au ninini?Mtu anafungua akaunti wapi?Kiwango cha chini cha kufungua akaunti ni kipi?Ni mfuko wa kuwekeza pesa unaoendeshwa serikali.
Unaweka zako pesa na kuwa unapata faida ya approximately 0.027% kila siku ya pesa ulizowekeza.
Kwa hiyo nikiwekeza Milioni moja, kwa siku napata elfu 27,000. Kwa mwezi napata 810,000?.Ni mfuko wa kuwekeza pesa unaoendeshwa serikali.
Unaweka zako pesa na kuwa unapata faida ya approximately 0.027% kila siku ya pesa ulizowekeza.
CRDBMliowahi weka fedha zenu kwenye akaunti ya muda maalumu Ninaomba ushauri wenu!
Riba ikoje,kwa kiwango gani na kwa muda gani?Benki ipi ni nzuri!
Naomba ufafanuzi hasa kwenu nyie ambao mlishatumia akaunti hiyo!
Nilijaribu kupita benki kadhaa nilichogundua kila benki inavutia kwake!
Unapata 270 kwa siku.Kwa hiyo nikiwekeza Milioni moja, kwa siku napata elfu 27,000. Kwa mwezi napata 810,000?.
Au mie ndio sijaelewa.
Naomba kueleweshwa.
Riba ipoje --- haipo fixed, ukienda kinyonge na kishamba wanakula kichwa
Benki ipi nzuri -- inategemea ila uzuri wa benk ni ile itayokupa riba kubwa wala sio uzuri kwa maana ya brand
Kwa hiyo ni 9.72% annuallyUnapata 270 kwa siku.
ACCESS BANKFungua zote ila usifungue kwenye benki moja ipo hapo makumbusho upande wa kushoto kama unaenda mwenge . Niliweka fixed account ya million 4 kwa mwaka Baada ya kushawishiwa na wafanyakazi wa hapo kupewa riba nzuri lakini siku ya kumachua wakaanza sura zao halisi mara makato ya uendeshaji mara kodi ya serikali unajua mara sijui upuuzi gani waliishia kunipa faida elfu 60 na pole nyingi sitaki kuwasikia nikablock na namba zao.
Ushauri fanyia biashara hiyo hela hata kwenye kukaanga chips achana na huu udanganyifu wa Fixed account utakuja kunikumbuka
Depreciation ujue shilingi Iko je wekeza kwenye estateMliowahi weka fedha zenu kwenye akaunti ya muda maalumu Ninaomba ushauri wenu!
Riba ikoje,kwa kiwango gani na kwa muda gani?Benki ipi ni nzuri!
Naomba ufafanuzi hasa kwenu nyie ambao mlishatumia akaunti hiyo!
Nilijaribu kupita benki kadhaa nilichogundua kila benki inavutia kwake!
Naomba ufafanuzi kuhusu kuwekeza kwenye estateDepreciation ujue shilingi Iko je wekeza kwenye estate
Hiyo liquid fund ikoje?CRDB
FDR- 10% per Year.
Mzigo Flex-9% per year.
Kijani Bond-10.25% per Year.
TPB
11%per year
UTT
Liqiuid fund 1% kwa mwezi (inaweza panda au Shuka , kulingana na Soko).
Hapo ufafanuzi tunaomba utueleweshe nduguKwa hiyo nikiwekeza Milioni moja, kwa siku napata elfu 27,000. Kwa mwezi napata 810,000?.
Au mie ndio sijaelewa.
Naomba kueleweshwa.