Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Awapi 😃😃, kujitoa ufahamu tuAisee kumbe wewe dogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awapi 😃😃, kujitoa ufahamu tuAisee kumbe wewe dogo
We unaangana na kizazi cha 2000plusna hawa wa 1998 mbona umewaacha
nakataaAwapi 😃😃, kujitoa ufahamu tu
Ona sasa😃😃nakataa
Dawa imepenya mahala pakeWw kama umezooea kufirwa na ndo tabia yako endelea na tabia yako usingize wengine.
Kila mtu ana mipango ya maisha yake haiwezi sema sijui mtu tisini na ngap lazima awe na mtoto alafu nikuone wa maana! Ni upumbavu sio lazima kuwa na watoto
Nimekupata mkuu,lakini nadhani sio vema kuoanisha umri na jambo fulani katika maisha. Kwani watu wana matakwa na vipaumbele tofauti, kwa mwingine ndoa ni mafanikio na lazima lifanyike katika umri fulani na ni tofauti kwa mwingine na mwingine.Uko sahihi sana lakini huoni kwamba kuwa na mke kunaokoa gharama nyingi?
Naomba nijitolee mfano Mimi,
Kabla sijaanza kuishi na mwanamke(hatujafunga ndoa) kiwango Cha chini Kwa matumizi yangu Kwa siku yalikua sio chini ya elfu 50. Ila baada ya kuishi na huyu bibie Kwa siku nikitumia sana Hela ni elfu 20 kitu ambacho mwanzoni nilikua siwezi kabisa.
Ukiishi peke yako matumizi ni makubwa kuliko ukiwa na mwenza, jaribu kuuliza watu watakupa ukweli