Mliozaliwa kuanzia 1990 hadi 1997 someni hapa, msome Kwa umakini

Mimi nakaa hapa kwetu niondoke niende wapi? Hapa ndio kwetu?
Labda baba ndio atoke aende kwao
 
Ww kama umezooea kufirwa na ndo tabia yako endelea na tabia yako usingize wengine.

Kila mtu ana mipango ya maisha yake haiwezi sema sijui mtu tisini na ngap lazima awe na mtoto alafu nikuone wa maana! Ni upumbavu sio lazima kuwa na watoto
Dawa imepenya mahala pake
 
Nimekupata mkuu,lakini nadhani sio vema kuoanisha umri na jambo fulani katika maisha. Kwani watu wana matakwa na vipaumbele tofauti, kwa mwingine ndoa ni mafanikio na lazima lifanyike katika umri fulani na ni tofauti kwa mwingine na mwingine.
Nafikiri lengo libakie kwenye kukua kama mtu, katika kila nyanja ya maisha bila kujali umri.
 
Unekaa zako na furaha kama zote ghafla Ubongo unakukumbusha umri wako, ""Bro!!! Una 35 wewe huna Kiwanja, huna Mke wala Mtoto wa kusingiziwa""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…