Mliozitaka picha za Ubaya Ubwela kabla jua halijazama πŸ˜„

Wenzetu wanachukua medali huko Paris, sisi tupo tu na vijembe, eti unateseka ukiwa wapi?
 
Bado tamasha la simba linaboa, dj wa crown hili tamasha ni kubwa kuliko yeye, limemshinda kwa kiasi fulani.
 
duh wahuni siowatu wamejaza bhanaaaaπŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
 
Kwahiyo watu wamejaa ili kuzuia Magoli matano kutoka kwa Young Africans???🀣πŸ₯°πŸ₯°
 
Sisi kazi yetu tumemaliza, sasa ni zamu ya squad
Nimemkubali mtu mmoja tu kwenye vikosi vya jana. Si mwingine ni yule Mlinzi anaitwa Karaboka (kama sijakosea). Jamaa ana utulivu sana, angecheza pamoja na Kennedy Juma ingekuwa poa sana. Wengine waliobaki ni wa kawaida sana kama wachezaji wa Azam na Mashujaa.
 
Wasanii wanapenda Makoti unaweza fikiri Jana DSM palikuwa Pana baridi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…