Mliozitaka picha za Ubaya Ubwela kabla jua halijazama 😄

Nimemkubali mtu mmoja tu kwenye vikosi vya jana. Si mwingine ni yule Mlinzi anaitwa Karaboka (kama sijakosea). Jamaa ana utulivu sana, angecheza pamoja na Kennedy Juma ingekuwa poa sana. Wengine waliobaki ni wa kawaida sana kama wachezaji wa Azam na Mashujaa.
Mkuu pengine huna jicho la kuona mchezaji. Nimeona hilo ulipomtaja Kennedy kama mtu wa kusimama na Karaboka. Nimesikitika sana kumtaja mtu ambaye uwezo wake haumpi hata nafasi ya kukaa bench.
Jana kuna vijana walionyesha kiwango. Mavambo, Mutale, Awesu,Kijili, Kagoma na Okajepha walipiga mpira mzuri tu. Wengine kama Ahoua, Nouma na Mukwala ni classic ambao huwezi kuhukumu kwa mechi moja.
 
Sawa Mkuu. But vipi kuhusu Karaboka (Bosou)?
 
1722773281321.jpg
 
Back
Top Bottom