Mkuu pengine huna jicho la kuona mchezaji. Nimeona hilo ulipomtaja Kennedy kama mtu wa kusimama na Karaboka. Nimesikitika sana kumtaja mtu ambaye uwezo wake haumpi hata nafasi ya kukaa bench.
Jana kuna vijana walionyesha kiwango. Mavambo, Mutale, Awesu,Kijili, Kagoma na Okajepha walipiga mpira mzuri tu. Wengine kama Ahoua, Nouma na Mukwala ni classic ambao huwezi kuhukumu kwa mechi moja.