Mlipuko huu utaondoka na wengi. Nilibanwa na Kifua kwa siku 2. Dalili na Tiba

Usisahau kunywa glas ya maziwa fresh ya ng'ombbe,, pia meza. ddaw. Za maumiv kama dawa tattu au mifupeni
 
Mwamba utafikiri unanielezea mimi,hakika vipaji mnavyo,hiyo hali ilinitokea na tiba ni hiyo hiyo uliyotaja ndio ilisaidia,kwa sasa jambo hambo

Sina swali
 
Mwamba utafikiri unanielezea mimi,hakika vipaji mnavyo,hiyo hali ilinitokea na tiba ni hiyo hiyo uliyotaja ndio ilisaidia,kwa sasa jambo hambo

Sina swali
Asante
 
Hizi dalili ni za magonjwa mengi hasa maleria japo maleria imepungua sana mtaani
Cha msingi watu tuanze kutumia dawa za Kuongeza kinga na kufanya mazoezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…