Mlipuko huu wa Rooters za WIFI kwa kampuni za Simu ipi ni nzuri Kwa matumizi nyumbani?

Kuna ile kampuni ya simu ilipotea ghafla miaka kama 5 iliyopita, nilikuwa natumia router yao unlimited naangalia YouTube/download siku nzima bila shida hata enzi hizo, hautakuwa na shida sasa.
Smile? Au Smarts!
 
Hiyo laki 2 ya Airtel basi umepigwa
 
Wazee ninatumia computer ya Dell windows 7. Tangu juzi imegoma kuunganisha mobile hotspot kwenye simu kama inavyoonyesha kwenye screenshot. Nimejaribu troubleshootings zote lakini bado imegoma kuunganisha. Tatizo linaweza kuwa nini? Je, naweza kufanya nini zaidi ili iweze kukubali? Asante.

 
Alternative tumia usb tethering
 
Kwanini usiwe na ya peke yako? Postpaid?

 


Router sio ubora, ubora ni strength ya supplier, no one beat Vodacom in Tanzania.
 
Chukua router ambayo ni multipurpose ili usiwe kifungoni amua kati ya D-Link wireless router au TP-link
Mkuu nimefanya hivyo lakini habari mbaya nilizopata ni kuwa VODACOM hawatoi huduma hiyo ya Unlimited kwa Router ambazo sio zao.
Kuuliza na Airtel nao naambiwa lazima ununue za kwao jee hapo inakuwaje?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ni Routers !
 
Zinaitwa Routers mkuu.

Siyo rooters
 
Hata kama wangekuwa wanakubali router za 5G ni chache na bei ni ndefu sana
 
ni zile za mkopo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…