Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,392
- 9,187
Ivi=hivikwahio unaona mazuri au sio??? ivi tunakosea wapi kama taifa maaana kuna watu hata ni aibu kusema uko nao nchi moja
Umempenda jamaaKum-mind ukimaanisha nini?
Kalio lakoHujitambui
Mauaji ya kimbari nchini rwanda nimeyashuhudiaHivi unaijua vita ww? Au unajiropokea tu.. Panyaroad tu mnawaogopa iwe ndio vita.
Ukiangalia kwa mbali nawaza Yale mkazi ya Mzee Nyerere,pia makazi ya Mzee Mkapa pale butiama na lupaso !!sasa linganisha msoga na chato tukianza kupigana hapa bongo nitalipua bagamoyo yote halafu mwanza yote nateketezaaaa yaani hatuwezi kupakwa unafiki matokeo ndio hayooo watu tumenyamaza huku tukiangalia mchezo
Hata huwaga nashangaa hii vita watu wanasema israel alipata kipigo wakati hezbollah wamekufaa wengi plus wanajeshi wa lebanon na raia wengi sasa hapo israel ameshindwaje ?I am sorry it's taken me so long to see this.
Here you go.
FACTBOX: Costs of war and recovery in Lebanon and Israel hiyo ni Aftermath.
Mimi naamini kwenye vita hamna mshindi. Lakini wewe unaweza kunisaidia ni vigezo gani unaamini Hezbollah alikuwa mshindi?
Idadi ya vifo?
Walipata walichotaka?
Uharibifu uliotokea?
(Data zote zipo kwenye link hapo juu).
Kama utatumia data hizo ni wazi Hezbollah hakuwa mshindi.
Nasubiri sources zako.
Na pia madhara ya ile vita bado yapo na Lebanon hadi leo. Huku Israel ili-recover mapema kabisa na kurudi hali yake ya kawaida.Hata huwaga nashangaa hii vita watu wanasema israel alipata kipigo wakati hezbollah wamekufaa wengi plus wanajeshi wa lebanon na raia wengi sasa hapo israel ameshindwaje ?
Na pia madhara ya ile vita bado yapo na Lebanon hadi leo. Huku Israel ili-recover mapema kabisa na kurudi hali yake ya kawaida.
Yaani bila ushabiki kwenye ile vita Lebanon ndio "mhanga" mkubwa na alipoteza zaidi ya Israel kwa kila kitu.
Hawa watu labda wana sources zao zinazoelezea tofauti ngoja tuone Bwana Utam akiziweka.
Kwa hiyo sio habari mbaya sana Sababu Ni Wakristo wengi wamekufa?Kwa kiwango hiki cha ammonium nitrate tuseme wana afadhali ya kuwa na vifo na uharibifu kidogo. Mwaka 1947 mlipuko wa tani 2000 za hii compound mjini Texas, Marekani ulisababisha watu 581 kufa. Mwaka 1995 shambulizi la kigaidi la mabomu ya kutengenezwa kwa mkono ya compound hii liliua watu 168 mjini Oklahoma, Marekani.
Maofisa wamedai tani hizi 2750 zilikamatwa kutoka kwenye meli moja kama magendo mwaka 2014. Mzigo utakuwa ulishapungua makali kwa kuhifadhiwa hivyo na kukaa muda mrefu. Kingine cha msaada hakukuwepo chain reaction kwenye viwanda, mabomba ya mafuta, mifumo ya umeme au majengo ya watu.
Pia eneo hilo limesemekana linakaliwa zaidi na wakristo lina maeneo ya starehe ambayo siyo makazi ya watu kuna pubs na viwanja kadhaa. Kwa vile haikuwa weekend na ni jioni, naamini watu hawakuwa wengi sana around.
Hospitali nne ziliharibiwa kiasi na mlipuko na wafanyakazi wake walijeruhiwa hivyo hazikuweza kutoa msaada sana. Waziri wa afya amesema wanahitaji msaada wa kila kitu kwa kuwa wana upungufu wa kila kitu. Depot ya chanjo zotei inasemekana imeharibika.
Source: Compilation ya vyombo vya habari vya mabeberu kama NY Times, BBC, Aljazeera, DW, Haaretz, Reuters, etc.View attachment 1527666View attachment 1527667View attachment 1527668View attachment 1527669
Yani akili yako imesoma comment nzima kisha ikatafsiri hivi?Kwa hiyo sio habari mbaya sana Sababu Ni Wakristo wengi wamekufa?
Sisi wengine hatuna bando nini kinaelezewa hapo?
Huyu ni mmoja wa majeruhi,anashukuru kaponea chupuchupu,,ule mlipuko haukuwa wa kitotoSisi wengine hatuna bando nini kinaelezewa hapo?
Nikurekebishe kidogo according to Al Jazeera.hio mbolea ya ammonium nitrate iliyolipuka ilikuwa inatoka Georgia inaelekea msumbiji imebebwa na meli ya urusi mwaka 2014 meli ikapata tatizo la kiufundi ikaomba kupaki bandari ya Beirut Lebanon Lakini kwa sababu zisizoeleweka meli na mbolea zikatelekezwa na mmiliki na kutaifishwa na Lebanon, mzigo ukahifadhiwa Kwenye ghala ya bandarini bila kuzingatia taratibu za kiusalama.
Chanzo cha mlipuko ni wachomea vyuma ( welder)waliokuwa karibu na eneo.
Bandari ya Beirut jina lake la utani inajulikana kama pango la alibaba na wezi 40 kwasababu ya kiwango chake cha rushwa iliyokidhiri.
Mlipuko ulitengeneza tetemo la ardhi la magnitude ya 3.3
Ukiangalia kwa mbali nawaza Yale mkazi ya Mzee Nyerere,pia makazi ya Mzee Mkapa pale butiama na lupaso !!sasa linganisha msoga na chato tukianza kupigana hapa bongo nitalipua bagamoyo yote halafu mwanza yote nateketezaaaa yaani hatuwezi kupakwa unafiki matokeo ndio hayooo watu tumenyamaza huku tukiangalia mchezo