Mlipuko mkubwa watokea mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Watu zaidi ya 78 wafariki na zaidi ya 4,000 kujeruhiwa

Mlipuko mkubwa watokea mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Watu zaidi ya 78 wafariki na zaidi ya 4,000 kujeruhiwa

Ukiangalia kwa mbali nawaza Yale mkazi ya Mzee Nyerere,pia makazi ya Mzee Mkapa pale butiama na lupaso !!sasa linganisha msoga na chato tukianza kupigana hapa bongo nitalipua bagamoyo yote halafu mwanza yote nateketezaaaa yaani hatuwezi kupakwa unafiki matokeo ndio hayooo watu tumenyamaza huku tukiangalia mchezo
1596607201444.png

1.NYUMBANI KWA MKAPA-LUPASO
1596608709517.png

2.NYUMBANI KWA NYERERE -BUTIAMA.
1596631394954.png

3.MZEE WA MSOGA
 
hio mbolea ya ammonium nitrate iliyolipuka ilikuwa inatoka Georgia inaelekea msumbiji imebebwa na meli ya urusi mwaka 2014 meli ikapata tatizo la kiufundi ikaomba kupaki bandari ya Beirut Lebanon Lakini kwa sababu zisizoeleweka meli na mbolea zikatelekezwa na mmiliki na kutaifishwa na Lebanon, mzigo ukahifadhiwa Kwenye ghala ya bandarini bila kuzingatia taratibu za kiusalama.
Chanzo cha mlipuko ni wachomea vyuma ( welder)waliokuwa karibu na eneo.
Bandari ya Beirut jina lake la utani inajulikana kama pango la alibaba na wezi 40 kwasababu ya kiwango chake cha rushwa iliyokidhiri.
Mlipuko ulitengeneza tetemo la ardhi la magnitude ya 3.3
 
I am sorry it's taken me so long to see this.
Here you go.
FACTBOX: Costs of war and recovery in Lebanon and Israel hiyo ni Aftermath.

Mimi naamini kwenye vita hamna mshindi. Lakini wewe unaweza kunisaidia ni vigezo gani unaamini Hezbollah alikuwa mshindi?
Idadi ya vifo?
Walipata walichotaka?
Uharibifu uliotokea?
(Data zote zipo kwenye link hapo juu).
Kama utatumia data hizo ni wazi Hezbollah hakuwa mshindi.

Nasubiri sources zako.
Hata huwaga nashangaa hii vita watu wanasema israel alipata kipigo wakati hezbollah wamekufaa wengi plus wanajeshi wa lebanon na raia wengi sasa hapo israel ameshindwaje ?
 
Hata huwaga nashangaa hii vita watu wanasema israel alipata kipigo wakati hezbollah wamekufaa wengi plus wanajeshi wa lebanon na raia wengi sasa hapo israel ameshindwaje ?
Na pia madhara ya ile vita bado yapo na Lebanon hadi leo. Huku Israel ili-recover mapema kabisa na kurudi hali yake ya kawaida.
Yaani bila ushabiki kwenye ile vita Lebanon ndio "mhanga" mkubwa na alipoteza zaidi ya Israel kwa kila kitu.

Hawa watu labda wana sources zao zinazoelezea tofauti ngoja tuone Bwana Utam akiziweka.
 
This picture of Hezbollah's leader in the cloud of smoke from the explosion is trending in Lebanon.

People are saying: 'We are told that Israel is our enemy, but we see that the enemy is right here in Lebanon'.
FB_IMG_1596643506802.jpg
 
Hezbollah watangaza ushindi kwamba vita wameshinda baada ya kuokota kifalu kilicho achwa na IDF..[emoji1]
Na pia madhara ya ile vita bado yapo na Lebanon hadi leo. Huku Israel ili-recover mapema kabisa na kurudi hali yake ya kawaida.
Yaani bila ushabiki kwenye ile vita Lebanon ndio "mhanga" mkubwa na alipoteza zaidi ya Israel kwa kila kitu.

Hawa watu labda wana sources zao zinazoelezea tofauti ngoja tuone Bwana Utam akiziweka.
 
Duh..
Nimesikia ila nilikua sijaona. Hapo kuna kitu kimetrigger kingine
 
Kwa kiwango hiki cha ammonium nitrate tuseme wana afadhali ya kuwa na vifo na uharibifu kidogo. Mwaka 1947 mlipuko wa tani 2000 za hii compound mjini Texas, Marekani ulisababisha watu 581 kufa. Mwaka 1995 shambulizi la kigaidi la mabomu ya kutengenezwa kwa mkono ya compound hii liliua watu 168 mjini Oklahoma, Marekani.

Maofisa wamedai tani hizi 2750 zilikamatwa kutoka kwenye meli moja kama magendo mwaka 2014. Mzigo utakuwa ulishapungua makali kwa kuhifadhiwa hivyo na kukaa muda mrefu. Kingine cha msaada hakukuwepo chain reaction kwenye viwanda, mabomba ya mafuta, mifumo ya umeme au majengo ya watu.
Pia eneo hilo limesemekana linakaliwa zaidi na wakristo lina maeneo ya starehe ambayo siyo makazi ya watu kuna pubs na viwanja kadhaa. Kwa vile haikuwa weekend na ni jioni, naamini watu hawakuwa wengi sana around.

Hospitali nne ziliharibiwa kiasi na mlipuko na wafanyakazi wake walijeruhiwa hivyo hazikuweza kutoa msaada sana. Waziri wa afya amesema wanahitaji msaada wa kila kitu kwa kuwa wana upungufu wa kila kitu. Depot ya chanjo zotei inasemekana imeharibika.

Source: Compilation ya vyombo vya habari vya mabeberu kama NY Times, BBC, Aljazeera, DW, Haaretz, Reuters, etc.View attachment 1527666View attachment 1527667View attachment 1527668View attachment 1527669
Kwa hiyo sio habari mbaya sana Sababu Ni Wakristo wengi wamekufa?
 
hio mbolea ya ammonium nitrate iliyolipuka ilikuwa inatoka Georgia inaelekea msumbiji imebebwa na meli ya urusi mwaka 2014 meli ikapata tatizo la kiufundi ikaomba kupaki bandari ya Beirut Lebanon Lakini kwa sababu zisizoeleweka meli na mbolea zikatelekezwa na mmiliki na kutaifishwa na Lebanon, mzigo ukahifadhiwa Kwenye ghala ya bandarini bila kuzingatia taratibu za kiusalama.
Chanzo cha mlipuko ni wachomea vyuma ( welder)waliokuwa karibu na eneo.
Bandari ya Beirut jina lake la utani inajulikana kama pango la alibaba na wezi 40 kwasababu ya kiwango chake cha rushwa iliyokidhiri.
Mlipuko ulitengeneza tetemo la ardhi la magnitude ya 3.3
Nikurekebishe kidogo according to Al Jazeera.

Ammonium nitrate ilifika by accident kwenye bandari ya Beirut mwaka 2013 baada ya meli kupata matatizo ya kiufundi ikiwa njiani kuelekea Mozambique.

Maafisa wa Lebanon WALIIZUIA isiondoke. Crew members wengi waliondoka na baadae wamiliki wakaamua kuitelekeza.

Cargo ilishushwa na kuhifadhiwa kwenye hangar katika eneo la bandari hiyo.

Maafisa wa ushuru na forodha waliandika barua zaidi ya mara 5 kati ya mwaka 2014 na 2017 kwa mamlaka husika wakiomba order ya mahakama kuruhusu huo mzigo uondolewe hapo.

Hakuna barua hata moja iliyojibiwa na mara ya mwisho barua ilitumwa 2017, miaka mitatu baadae Ammonium nitrate imelipuka.
 
Si vizuri kujifanya unajua kitu usichokijua..

Unapajua LUSHOTO kwa Mkapa wewe au una ropoka tu.??

Back
Top Bottom