Mlipuko mkubwa watokea mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Watu zaidi ya 78 wafariki na zaidi ya 4,000 kujeruhiwa

Huyu ni mmoja wa majeruhi,anashukuru kaponea chupuchupu,,ule mlipuko haukuwa wa kitoto
Inasemekana kuwa ilikuwa secrèt operation iliyofanywa na israel nasikia ilikuwa ndege ya f 15 ambayo ilibeba makombora ya glide specil for hard target penetration hivi ni kweli?
 
Iran anaemfadhili Hezibullah kila siku analipuliwa sehemu zake nyeti na hajalipia mpaka sasa.
analipuliwa nje ya ardhi yake,siku akilipuliwa katika ardhi yake na ushahidi ukawepo,ndo tutajua tucoment nini,kama vile usa kamuua suleman wote tulijua,na iran akalipiza pia wote timejua...
 
analipuliwa nje ya ardhi yake,siku akilipuliwa katika ardhi yake na ushahidi ukawepo,ndo tutajua tucoment nini,kama vile usa kamuua suleman wote tulijua,na iran akalipiza pia wote timejua...
Na hata lile lisiloonekana kwenye rada lilipodondoshwa pia tulijua
 
Hata huwaga nashangaa hii vita watu wanasema israel alipata kipigo wakati hezbollah wamekufaa wengi plus wanajeshi wa lebanon na raia wengi sasa hapo israel ameshindwaje ?
Coz statas ya izrael Ni kubwa kuliko hizbullah kwa matokeo Yale Ni aibu kwa taifa km izrael ukizingatia kapambana na kikund cha watu, km sis hapa bongo tuliwah washughulikia M23 mpaka wenyewee wakakubali yaishe endapo km lengo letu lisingetimia ingekua aibu km ya izrael.
 
Israel amejitahidi sana ile vita vya mwaka 2006 ujue kupigana vita na magaidi ni ngumu hezbollah wanajificha na silaha zao kwenye nyumba za raia na kwenye mashule
 
Israel amejitahidi sana ile vita vya mwaka 2006 ujue kupigana vita na magaidi ni ngumu hezbollah wanajificha na silaha zao kwenye nyumba za raia na kwenye mashule
dogo mpaa sa hivi Israel hajaripua pale kuna eyewitness wanasema waliona ndege lakini mpaa saa ivi hakuna dalili kuwa Israel kapiga pale, lakini ikiwa kweli weka akilini Hezbullah ataifuta Israel kwenye map. Mana mpaa saa hivi Wanainvestigate nani aliye rupua ile store.
 
Dah kweli mahaba yakizidi akili huenda likizo,yaani Hezibullah hii hii ifute Israel kwenye Map?
 
kufa katika mapigano hakuepukiki kushinda katika vita nimalengo ndio maana mfano wanasema US kashindwa vita ya SYRIA sababu alikua ama walikua namalengo yakumchomoa Al Assad kama ilivyokua kwa gaddafi na Saddam ila wakachemka

sababu moja wapo ambayo ndio kubwa iliopelekea hizbullah wakaingia vitani na ISARAEL kunawanamgambo wao walikamatwa(walitekwa) na ISRAEL najamaa Hizbu wakataka itumike diplomasia kuwakomboa ISRAEL wakagoma Hizbu wakafanya Ambush ndani ya ISRAEL wakateka wanajeshi wa ISRAEL ambayo ikawa nimiongoni mwasababu zilizopelekea vita
Mwisho wale mateka waliachiwa ambao mwanzo waligoma kuachiwa kuhusiana nahasara zamali na miundo mbinu waliipata lebanon kwasababu Hizbullah wanashikilia ama wapo eneo dogo kabisa pale Lebanon ila tuseme walipata hizbullah lakini nikwamba malengo yaliyowapeleka hizbullah vitani yalitimia kwa 100% nandio maana kila mwaka hua kuna sherehe rasmi kabisa kwaupande wa Hizbullah na IRAN SYRIA wakuipongeza Hizbullah kwaushindi wamwaka 2006

Paula Paul
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mkuu mbona huwa unawakashifu wayahudi, au hii double standard huioni??

Siwakashifu kama ambavyo wao na miyahudi mieusi inavyotukashifu na kumkashifu Mtume wetu rehma na amani ziwe juu yake.

Mkuu hao ni madhaalim sio wa kutetea.
 
Mmoja wapo akiwa Samir Kuntar?
Sikweli kwamba Israel aliachia mtu yoyote. Walikuja kumwachia huyu 2008 na ni sehemu ya makubaliano ya kubadilishana wafungwa na sio matokeo ya vita.
Nisahihishe kama nimekosea Bwana Utam.
 
Mmoja wapo akiwa Samir Kuntar?
Sikweli kwamba Israel aliachia mtu yoyote. Walikuja kumwachia huyu 2008 na ni sehemu ya makubaliano ya kubadilishana wafungwa na sio matokeo ya vita.
Nisahihishe kama nimekosea Bwana Utam.
Samir kuntar sina hakika nae kama alikua nimiongoni mwao ila baada ya ile vita israel walibadilishana wafungwa na Hizb

Pia walinadilishana mpaka maiti zawanajeshi wa israel kwa wafungwa

ila kuhusiana na ku recover baina ya lebanon na Israel

Unapoizungumzia Lebanon unaiongelea nchi nzima ila unapoizungumzia Hizbullah unakizungumzia kikundi flani chawatu ambacho kinapatikana maeneo fulani tu

Pia lebanon haipo sawa sio kwasababu ya Israel war ya 2006 Lebanon nitaifa ambalo limeshuhudia machafuko yakisiasa yandani kwamiongo kadhaa sasa vita zawenyewe kwa wenyewe namigogoro mengine ila sio kwasababu ya 2006 war

Pia unapo izungumzia ISRAEL unaizungumzia nchi ambayo ni mwanachama wa EU asie rasmi namwanachama wa US muaminifu unajua ISRAEL anapokea michango mingi sana ambyo inampaisha kimaendeleo tofauti na LEBANON (hii nimeigusia tu sio mada husika lkn)


nipo tayari kusahihishwa.
 

Kwa mimi ninavyojua Samir Kuntar alikuwa ndio sababu ya ile vita. Kwa sababu Hezbollah walitaka aachiliwe. Kama palikuwa na wengine nahisi hawakuwa sababu.

Na pia naomba nisaidie source yoyote hata ya huko Lebanon inayoonesha kwamba matokeo ya ile vita ilikuwa ni kuachiwa kwa wafungwa.

Pengine huko nimekuelewa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…