kufa katika mapigano hakuepukiki kushinda katika vita nimalengo ndio maana mfano wanasema US kashindwa vita ya SYRIA sababu alikua ama walikua namalengo yakumchomoa Al Assad kama ilivyokua kwa gaddafi na Saddam ila wakachemka
sababu moja wapo ambayo ndio kubwa iliopelekea hizbullah wakaingia vitani na ISARAEL kunawanamgambo wao walikamatwa(walitekwa) na ISRAEL najamaa Hizbu wakataka itumike diplomasia kuwakomboa ISRAEL wakagoma Hizbu wakafanya Ambush ndani ya ISRAEL wakateka wanajeshi wa ISRAEL ambayo ikawa nimiongoni mwasababu zilizopelekea vita
Mwisho wale mateka waliachiwa ambao mwanzo waligoma kuachiwa kuhusiana nahasara zamali na miundo mbinu waliipata lebanon kwasababu Hizbullah wanashikilia ama wapo eneo dogo kabisa pale Lebanon ila tuseme walipata hizbullah lakini nikwamba malengo yaliyowapeleka hizbullah vitani yalitimia kwa 100% nandio maana kila mwaka hua kuna sherehe rasmi kabisa kwaupande wa Hizbullah na IRAN SYRIA wakuipongeza Hizbullah kwaushindi wamwaka 2006
Paula Paul