Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Missiles mbili tu zinaweza kuifuta Israel unapiga Dimona Nuclear plant na Haifa, na haswa ukifatilia precision guided missiles like those now in Hezbullahs possession can also paralyze the civilian and military infrastructures of entire countries.Dah kweli mahaba yakizidi akili huenda likizo,yaani Hezibullah hii hii ifute Israel kwenye Map?
ulichokiandika hapa, nikiunganisha Dot na ule uzi wa Habib ndo napata picha halisi.
M 23 na Hizbullah uwezi waweka kwenye mzani mmoja.Coz statas ya izrael Ni kubwa kuliko hizbullah kwa matokeo Yale Ni aibu kwa taifa km izrael ukizingatia kapambana na kikund cha watu, km sis hapa bongo tuliwah washughulikia M23 mpaka wenyewee wakakubali yaishe endapo km lengo letu lisingetimia ingekua aibu km ya izrael.
Mahaba ya huyu jamaa si ya kawaida aisee.Dah kweli mahaba yakizidi akili huenda likizo,yaani Hezibullah hii hii ifute Israel kwenye Map?
kufa katika mapigano hakuepukiki kushinda katika vita nimalengo ndio maana mfano wanasema US kashindwa vita ya SYRIA sababu alikua ama walikua namalengo yakumchomoa Al Assad kama ilivyokua kwa gaddafi na Saddam ila wakachemka
sababu moja wapo ambayo ndio kubwa iliopelekea hizbullah wakaingia vitani na ISARAEL kunawanamgambo wao walikamatwa(walitekwa) na ISRAEL najamaa Hizbu wakataka itumike diplomasia kuwakomboa ISRAEL wakagoma Hizbu wakafanya Ambush ndani ya ISRAEL wakateka wanajeshi wa ISRAEL ambayo ikawa nimiongoni mwasababu zilizopelekea vita
Mwisho wale mateka waliachiwa ambao mwanzo waligoma kuachiwa kuhusiana nahasara zamali na miundo mbinu waliipata lebanon kwasababu Hizbullah wanashikilia ama wapo eneo dogo kabisa pale Lebanon ila tuseme walipata hizbullah lakini nikwamba malengo yaliyowapeleka hizbullah vitani yalitimia kwa 100% nandio maana kila mwaka hua kuna sherehe rasmi kabisa kwaupande wa Hizbullah na IRAN SYRIA wakuipongeza Hizbullah kwaushindi wamwaka 2006
Paula Paul
Duh kweli kazi ipoMissiles mbili tu zinaweza kuifuta Israel unapiga Dimona Nuclear plant na Haifa, na haswa ukifatilia precision guided missiles like those now in Hezbullahs possession can also paralyze the civilian and military infrastructures of entire countries.
Missiles mbili tu zinaweza kuifuta Israel unapiga Dimona Nuclear plant na Haifa, na haswa ukifatilia precision guided missiles like those now in Hezbullahs possession can also paralyze the civilian and military infrastructures of entire countries.
Missiles mbili tu zinaweza kuifuta Israel unapiga Dimona Nuclear plant na Haifa, na haswa ukifatilia precision guided missiles like those now in Hezbullahs possession can also paralyze the civilian and military infrastructures of entire countries.
time will tell kiongozi.
M 23 na Hizbullah uwezi waweka kwenye mzani mmoja.
M 23 ilikuwa ni kama jeshi kabisa.
So, Hizbullah ni ngumu kuwazibiti kwa wepesi.
Hizbullah wanatumia njia ya irregular war kupambana na adui yake.
Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
[emoji41][emoji14][emoji12][emoji14]
I can see time is never fair, or it doesn't want to tell.
I mean, it never will.
Endelea kukariri kijana
Israeli. A total of 121 IDF soldiers were killed in the war, including the two soldiers whose bodies were seized in the Zar'it-Shtula incident that started the war, whose fates weren't confirmed until their bodies were exchanged for Lebanese prisoners in 2008.
Bila kukubali vita iishe wangekufa kama nzi mbwa hao. Wana bahati sana.
Israeli ifutwe na Hezbollah? Daa hivi wangekuwa na uwezo Israel inavyochukiwa ingekuwepo kweli mpaka sasa?dogo mpaa sa hivi Israel hajaripua pale kuna eyewitness wanasema waliona ndege lakini mpaa saa ivi hakuna dalili kuwa Israel kapiga pale, lakini ikiwa kweli weka akilini Hezbullah ataifuta Israel kwenye map. Mana mpaa saa hivi Wanainvestigate nani aliye rupua ile store.
Sa we jiulize swali moja kwani Israel anawaogop Hezbulah. Anawatumia vibaraka wake tu kuvuruga Lebanon. Afu kwanini western countries wanakimbilia mbio mbio kutaka wao wa investigate katika huo mlipuko wanacho taka kuwakingia kifua Israel. Hivi huwa mripuko ungetokea Dar es salam yule Rais wafaransa angekuja Tanzania au kiongozi wowote yule wa western . Hezbullah number kubwa kwa Israel we ngojea uone kipigo watachokipata kwa ajili ya yule maiti wao aliye uliwa Syria na Israel. Nadhani leo Nasurlah atakieleza hicho kipigo kitakacho wafata wa Israel.Israeli ifutwe na Hezbollah? Daa hivi wangekuwa na uwezo Israel inavyochukiwa ingekuwepo kweli mpaka sasa?