Mlipuko mkubwa watokea mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Watu zaidi ya 78 wafariki na zaidi ya 4,000 kujeruhiwa

Mlipuko mkubwa watokea mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Watu zaidi ya 78 wafariki na zaidi ya 4,000 kujeruhiwa

Dah kweli mahaba yakizidi akili huenda likizo,yaani Hezibullah hii hii ifute Israel kwenye Map?
Missiles mbili tu zinaweza kuifuta Israel unapiga Dimona Nuclear plant na Haifa, na haswa ukifatilia precision guided missiles like those now in Hezbullahs possession can also paralyze the civilian and military infrastructures of entire countries.
 
Coz statas ya izrael Ni kubwa kuliko hizbullah kwa matokeo Yale Ni aibu kwa taifa km izrael ukizingatia kapambana na kikund cha watu, km sis hapa bongo tuliwah washughulikia M23 mpaka wenyewee wakakubali yaishe endapo km lengo letu lisingetimia ingekua aibu km ya izrael.
M 23 na Hizbullah uwezi waweka kwenye mzani mmoja.
M 23 ilikuwa ni kama jeshi kabisa.
So, Hizbullah ni ngumu kuwazibiti kwa wepesi.
Hizbullah wanatumia njia ya irregular war kupambana na adui yake.

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
 
wana intelligence tumeshajua behind beirut disaster

Terrorism

Ammonium nitrate-based explosives were used in the Sterling Hall bombing in Madison, Wisconsin, 1970, the Oklahoma City bombing in 1995, the 2011 Delhi bombings, the 2011 bombing in Oslo, and the 2013 Hyderabad blasts.

In November 2009, the government of the North West Frontier Province (NWFP) of Pakistan imposed a ban on ammonium sulfate, ammonium nitrate, and calcium ammonium nitrate fertilizers in the former Malakand Division – comprising the Upper Dir, Lower Dir, Swat, Chitral, and Malakand districts of the NWFP – following reports that those chemicals were used by militants to make explosives. Due to these bans, "Potassium chlorate – the stuff that makes safety matches catch fire – has surpassed fertilizer as the explosive of choice for insurgents."[12]
 
Aisee, kila siku naona unasifia hii vita kuwa hizbollah iliwanyoosha Israeli, kumbe unyooshaji wenyewe ndo huu?

Me nilijua una maelezo ya ziada, hasa pale ulipokuwa unajipambanua eti mleta hoja anataka taarifa kutoka western sources, source za waarabu au neutral.
Hapa umeniacha hoi mqana wewe huwa naona unashabikia kipigo, kumbe unashabikia malengo ya vita.
Basi sawa.
kufa katika mapigano hakuepukiki kushinda katika vita nimalengo ndio maana mfano wanasema US kashindwa vita ya SYRIA sababu alikua ama walikua namalengo yakumchomoa Al Assad kama ilivyokua kwa gaddafi na Saddam ila wakachemka

sababu moja wapo ambayo ndio kubwa iliopelekea hizbullah wakaingia vitani na ISARAEL kunawanamgambo wao walikamatwa(walitekwa) na ISRAEL najamaa Hizbu wakataka itumike diplomasia kuwakomboa ISRAEL wakagoma Hizbu wakafanya Ambush ndani ya ISRAEL wakateka wanajeshi wa ISRAEL ambayo ikawa nimiongoni mwasababu zilizopelekea vita
Mwisho wale mateka waliachiwa ambao mwanzo waligoma kuachiwa kuhusiana nahasara zamali na miundo mbinu waliipata lebanon kwasababu Hizbullah wanashikilia ama wapo eneo dogo kabisa pale Lebanon ila tuseme walipata hizbullah lakini nikwamba malengo yaliyowapeleka hizbullah vitani yalitimia kwa 100% nandio maana kila mwaka hua kuna sherehe rasmi kabisa kwaupande wa Hizbullah na IRAN SYRIA wakuipongeza Hizbullah kwaushindi wamwaka 2006

Paula Paul
 
Missiles mbili tu zinaweza kuifuta Israel unapiga Dimona Nuclear plant na Haifa, na haswa ukifatilia precision guided missiles like those now in Hezbullahs possession can also paralyze the civilian and military infrastructures of entire countries.
Duh kweli kazi ipo
 
Missiles mbili tu zinaweza kuifuta Israel unapiga Dimona Nuclear plant na Haifa, na haswa ukifatilia precision guided missiles like those now in Hezbullahs possession can also paralyze the civilian and military infrastructures of entire countries.

Yani sema tu siku bado hazijafika mbwa hawa😁, hizbu anauwezo sana wa kuimega robo tatu ama yote. Tatizo western countries wataingilia na nchi za kiarabu kama unavyojua zitakaa kimyaa, hili ndio tatizo. Lakini nchi za kiislamu zingelikuwa kitu kimoja mbona hao makuffar wavaa vimini wangeisoma namba!


Naamini kabisa ipo siku hao washenzi watafutwa, time will tell kiongozi.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
Iran wakijua hii habari haki ya nani hizo missiles mbili zitarushwa leo leo.
Missiles mbili tu zinaweza kuifuta Israel unapiga Dimona Nuclear plant na Haifa, na haswa ukifatilia precision guided missiles like those now in Hezbullahs possession can also paralyze the civilian and military infrastructures of entire countries.
 
M 23 na Hizbullah uwezi waweka kwenye mzani mmoja.
M 23 ilikuwa ni kama jeshi kabisa.
So, Hizbullah ni ngumu kuwazibiti kwa wepesi.
Hizbullah wanatumia njia ya irregular war kupambana na adui yake.

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app

Kuwafananisha hao makafiri wa m23 na Hizbullah ni kuwakosea heshima Hizbullah. Hizbullah ni makomandoo waliopitia mafunzo ya hali juu kuliko hata wanamgambo wa netanyahu. Vita ya ardhini israel hawezi kupambana na hao wahuni,

Refers 2006 Israeli. A total of 121 IDF soldiers were killed in the war, including the two soldiers whose bodies were seized in the Zar'it-Shtula incident that started the war, whose fates weren't confirmed until their bodies were exchanged for Lebanese prisoners in 2008.
 
I can see time is never fair, or it doesn't want to tell.

I mean, it never will.

Endelea kukariri kijana

Israeli. A total of 121 IDF soldiers were killed in the war, including the two soldiers whose bodies were seized in the Zar'it-Shtula incident that started the war, whose fates weren't confirmed until their bodies were exchanged for Lebanese prisoners in 2008.

Bila kukubali vita iishe wangekufa kama nzi mbwa hao. Wana bahati sana.
 
Kwa hii source yako hebu weka na data za upande wa pili. Be fair weka hapa tuone wote
Endelea kukariri kijana

Israeli. A total of 121 IDF soldiers were killed in the war, including the two soldiers whose bodies were seized in the Zar'it-Shtula incident that started the war, whose fates weren't confirmed until their bodies were exchanged for Lebanese prisoners in 2008.

Bila kukubali vita iishe wangekufa kama nzi mbwa hao. Wana bahati sana.
 
Hivi sisi maghala yetu ya kuhifadhia mbolea zenye Ammonia nitrate yana hali gani kiusalama!? Serikali, ifanye ukaguzi haraka kama ilikuwa imejisahahu kwa maghala yote ya binafsi, ya mashirija ya umma na mengine yaliyo ndani ya mipaka ya nchi yetu.
 
The 1947 Texas City killing at least 581 people, including one member of the Texas City fire department.[2]
View attachment 1529689

On April 17, 2013, an ammonium nitrate explosion occurred Fifteen people were killed, more than 160 were injured, and more than 150 buildings were damaged

Port of Tianjin. On 12 August 2015, a series of explosions killed 173 people, according to official reports, and injured hundreds of others at a container storage station at the


Beirut On the evening of 4 August 2020, of explosions occurred in the city of Beirut, the capital of Lebanon at least 157 people dead, at least 80 more missing, and more than 5,000 injured.
 
mchawi anatafutwa 👇
Msumbiji imekanusha kuhusika na mlipuko wa Beirut

EPA/TONY VRAILAS/MARINETRAFFIC.COM

EPA/TONY VRAILAS/MARINETRAFFIC.COMCopyright: EPA/TONY VRAILAS/MARINETRAFFIC.COM
Mamlaka ya bandari nchini Msumbiji imekanusha madai kwamba meli yake ilikuwa imebeba mzigo uliosababisha mlipuko wa Beirut, kwa mujibu wa AFP.
Meli hiyo ambayo ilikuwa inatokea bandari ya Beira, nchini Msumbiji inadaiwa kuwa ilishusha mzigo Beirut na shehena ya mzigo ambao ulihifadhiwa katika ghala ya bandari.
"Mamlaka ya bandari haikuwa inajua kuwa meli ya MV Rhosus iliacha mzigo katika bandari ya Beira," imeeleza mamlaka ya bandari ya Beira.
Inasema hakukuwa na tangazo la kuwasili kwa meli bandarini hapo ndani ya siku saba mpaka 15.
Lakini maafisa wa bandari ambao hawakutaka majina yao yatajwe, wameimbia AFP kuwa ingawa meli hiyo ilikuwa imewasili katika bandari ya Beira, lakini safari yake ilikuwa haipaswi kuishia Msumbiji bali Zimbabwe au Zambia, kwa sababu ilikuwa imebeba kemikali inayotumika kutengeneza mlipuko kwa ajili ya sekta ya migodi.
Mamlaka ya bandari inayofuatilia mienendo ya Meli,imesema kuwa vyombo vya majini vinavyo pepeza bendera ya Moldoval viliwasili Beirut tangu Nov,20, 2013 na havijawahi kuondoka.
 
Raia wengi wa Lebanon wanasema upuuzaji wa serikali ndio chanzo cha mlipuko huo

Protests in Beirut


Waandamanaji katika mji wa Beirut walikabiliana na vikosi vya usalama vya Lebanon wakipinga serikali siku ya Alhamisi.
Maafisa wa usalama walirusha vitoza machozi kwa kundi la waandamanaji waliokuwa karibu na bunge.
Waandamanaji hao walikasirishwa na mlipuko uliotokea Jumanne, ambapo maafisa wanasema ulisababishwa na tani 2,750 za kemikali ya ammonium nitrate ambazo zimekuwa zikihifadhiwa kwa njia isiyo sahihi tangu mwaka 2013.
Raia wengi wa Lebanon wanasema upuuzaji wa serikali ndio chanzo cha mlipuko huo, uliosababisha vifo vya watu karibu 137 na kujeruhi wengine 5,000.
Mlipuko huo uliharibu eneo zima la mji huo huku nyumba na biashara zikiharibiwa kabisa.
Watu kadhaa bado hawajulikani walipo.
Lebanese security forces at the protest

Maafisa walirusha vitoza machozi katika kundi watu waliokuwa wameandamana
Protests in Beirut

CHANZO CHA PICHA,REUTERS
Maelezo ya picha,
Raia wamelaumu upuuzaji wa serikali, ufisadi na usimamizi mbaya
Shirika la habari linalomilikiwa na serikali limesema kwamba watu 16 wametiwa mbaroni kama sehemu ya uchunguzi uliotangazwa na serikali wiki hii.

Tangu kutokea kwa mkasa huo maafisa wawili wamejiuzulu.
Mbunge Marwan Hamadeh alijiuzulu Jumatano, huku balozi wa Lebanon nchini Jordan, Tracy Chamoun akijiuzulu Alhamisi, na kusema kwamba janga hilo limeonesha haja ya mabadiliko katika uongozi.
Mapema Alhamisi, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron pia alitembelea mji huo na kusema Lebanon inahitaji mabadiliko ya kina katika ngazi ya mamlaka.
Pia alitoa wito wa kufanyika kwa uchunguzi wa kimataifa kuhusu janga hilo.
 
dogo mpaa sa hivi Israel hajaripua pale kuna eyewitness wanasema waliona ndege lakini mpaa saa ivi hakuna dalili kuwa Israel kapiga pale, lakini ikiwa kweli weka akilini Hezbullah ataifuta Israel kwenye map. Mana mpaa saa hivi Wanainvestigate nani aliye rupua ile store.
Israeli ifutwe na Hezbollah? Daa hivi wangekuwa na uwezo Israel inavyochukiwa ingekuwepo kweli mpaka sasa?
 
Israeli ifutwe na Hezbollah? Daa hivi wangekuwa na uwezo Israel inavyochukiwa ingekuwepo kweli mpaka sasa?
Sa we jiulize swali moja kwani Israel anawaogop Hezbulah. Anawatumia vibaraka wake tu kuvuruga Lebanon. Afu kwanini western countries wanakimbilia mbio mbio kutaka wao wa investigate katika huo mlipuko wanacho taka kuwakingia kifua Israel. Hivi huwa mripuko ungetokea Dar es salam yule Rais wafaransa angekuja Tanzania au kiongozi wowote yule wa western . Hezbullah number kubwa kwa Israel we ngojea uone kipigo watachokipata kwa ajili ya yule maiti wao aliye uliwa Syria na Israel. Nadhani leo Nasurlah atakieleza hicho kipigo kitakacho wafata wa Israel.
 
Back
Top Bottom