Mlipuko mkubwa watokea mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Watu zaidi ya 78 wafariki na zaidi ya 4,000 kujeruhiwa

Sijaelewa.
Mbinu mpya za mapambano ya Dunia.
Cha kufanya ni kutenga maeneo yenye milipuko ya vitu (gesi, mafuta n. k) mbali na makazi ya watu.
Kufanya ukaguzi wa mara kwa mara kwenye maghala ya kuhifadhia bidhaa.
Kutengeneza mifumo imara ya utambuzi wa majanga na visababishi vingine vya milipuko.
Kuweka mbali vifaa vya kimedani mbali na makazi ya watu.
 
wayhudi wana nini kwani si watu kama wewe nawengine ama wao wanakipi chaziada ?!
Kuna usemi unasema "huwez wapa mbwa chakula cha watoto"

Tuache kamaa yalivyo..ila hujui chochote kuhusu ulimwengu huu..uko kwenye kund la majority so hata nikikwambia wayahud wana mchango gan kwenye ulimwengu huu .ntakua naku overdose tu.usikumwema
 
Mpaka muda huu hapa aljazeera ni atleast 50 people killed and the number might incease
 
Hizbullah wanababaisha hiyo Middle East isitulie. Hata hiyo warehouse ina utata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…