Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
wayhudi wana nini kwani si watu kama wewe nawengine ama wao wanakipi chaziada ?!Jibu swali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wayhudi wana nini kwani si watu kama wewe nawengine ama wao wanakipi chaziada ?!Jibu swali
Wamekua neutral ila inaeleweka wabaya wa Intelijensia Middle East. Wanakutungua hata chooni kwako ju kwa ju.Aljezeera wanasema nani kalipua?
Hawajui. Mossad ni mtambo mwingine.Hiv unawajua wayahud vzur
[emoji23][emoji23][emoji23] ww unajua kuliko waoWamekua neutral ila inaeleweka wabaya wa Intelijensia Middle East. Wanakutungua hata chooni kwako ju kwa ju.
Jane hahaaaaa Marekan ana nn naoItakuwa Marekani tu
Mbinu mpya za mapambano ya Dunia.Sijaelewa.
Bwana Utam naomba source nzuri ya hii Lebanon war.wataiona porojo kama ile ya 2006
Kuna usemi unasema "huwez wapa mbwa chakula cha watoto"wayhudi wana nini kwani si watu kama wewe nawengine ama wao wanakipi chaziada ?!
kama unapenda vita usiogope matokeo yake kwako piaHezbullah imeonya kama israel itakuwa inahusika basi watahakikisha wanaingia jelusalimu kibabe mimi napenda vita ngoja nisikilizie
[emoji848]Takbiir.kesho sa Tatu wotevtukutane ubalozi wa USA. Haya mambobyakome