Kwa hiyo hayo mengine ni Mataifa ya Shetani?Sasa hapo ndio muone maajabu ya Mungu wa kweli wa ISRAEL wala israel haijahusika kulipua na hizo material zilizolipuka walikuwa wanaandaa silaha za maangamizI dhidi yaya watu wa Mungu wa kweli wayahudi. Ukitaka mambo yako yasikunyookee kuwa adui wa Israel. Sasa hivi mataifa mengi ya kiislamu yamegundua hili Omani, saudia, UAE, Maroc n.k kwa kichinichini na kujifichajificha kama nikodemu wanampigiaga simu netanyahu. Majuzi tu hapa Somaliland wanataka diplomasia na israel hadi wenzao Mogadishu wakaja juu.
hearly
Sawa sawa.Kweli dini ni ulevi.NDIO
Ni balaa aisee ule mlipuko simchezo sekunde kadhaa tu pamegeuka kuwa jangwaHii movie au ni serious maana nimeona video inatisha sana
Hahaaa eti napenda vita daahHezbullah imeonya kama israel itakuwa inahusika basi watahakikisha wanaingia jelusalimu kibabe mimi napenda vita ngoja nisikilizie
Ndio ..picha ndio hizoHizo picha ni halisia ya tukio lililoripotiwa?
Umenichekesha sana.Takbiir.kesho sa Tatu wotevtukutane ubalozi wa USA. Haya mambobyakome
Duuh, si mchezo. Hivi lile gorofa pembeni pale lillikuwa na watu bila shaka.
Ila huu mlipuko ulikuja baadae, inaonekana kama kulitokea hitilafu fulani hapo kabla, maana kama kulikuwa kuna moto mdogo umeanza hivi.
Mpaka hezbollah wanaingia Jérusalem israel watakuwa wamelalaHezbullah imeonya kama israel itakuwa inahusika basi watahakikisha wanaingia jelusalimu kibabe mimi napenda vita ngoja nisikilizie
HahaaDah naanza kushikwa na wasiwasi hadi sasa ndugu yetu STRUGGLE MAN ajatia mguu humu. Hope all is well.
Kuna watu wengine wana utapia mlo wa kufikiriSawa sawa.Kweli dini ni ulevi.
Aljezeera wanasema nani kalipua?
Wao wanatumia majambia wayahudi wanatumia brainsHawa Hizbollah si ndo wababe wenyewe wa kazi kwa pande hizo? Inakuwaje tena karakana inachomeka mbele yao. Jamaa wanatisha kama njaa had serikali yao inafyata.
Wengi wanakimbilia na kupata Uraia Ulaya hasa Ujerumani. Ipo siku jamaa watajuta kuwakaribisha. Wamanga wenzao Saudia wamekausha tu, wanawasubiria wakienda kutalii tu Ili wazile Dola zao tuDaa jamani hao watu, halafu wanazaliana kweli
[emoji23][emoji23][emoji23]haya bana. hataivo vita za saivi hazina taifa dogo au kubwa mkuu.Wao wanatumia majambia wayahudi wanatumia brains
Hezbollah Ni kijikundi tu hapo Lebanon. Washapasuliwa Mara kadhaa ila hawakomi[emoji23][emoji23][emoji23]haya bana. hataivo vita za saivi hazina taifa dogo au kubwa mkuu.
wayhudi wana nini kwani si watu kama wewe nawengine ama wao wanakipi chaziada ?!