Mlipuko mkubwa watokea mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Watu zaidi ya 78 wafariki na zaidi ya 4,000 kujeruhiwa

Sasa hapo ndio muone maajabu ya Mungu wa kweli wa ISRAEL wala israel haijahusika kulipua na hizo material zilizolipuka walikuwa wanaandaa silaha za maangamizI dhidi yaya watu wa Mungu wa kweli wayahudi. Ukitaka mambo yako yasikunyookee kuwa adui wa Israel. Sasa hivi mataifa mengi ya kiislamu yamegundua hili Omani, saudia, UAE, Maroc n.k kwa kichinichini na kujifichajificha kama nikodemu wanampigiaga simu netanyahu. Majuzi tu hapa Somaliland wanataka diplomasia na israel hadi wenzao Mogadishu wakaja juu.

hearly
 
Kwa hiyo hayo mengine ni Mataifa ya Shetani?
 
Duuh, si mchezo. Hivi lile gorofa pembeni pale lillikuwa na watu bila shaka.

Ila huu mlipuko ulikuja baadae, inaonekana kama kulitokea hitilafu fulani hapo kabla, maana kama kulikuwa kuna moto mdogo umeanza hivi.
Hezbullah imeonya kama israel itakuwa inahusika basi watahakikisha wanaingia jelusalimu kibabe mimi napenda vita ngoja nisikilizie
Mpaka hezbollah wanaingia Jérusalem israel watakuwa wamelala
 
Hadi mida hii ya Saa saa sita kasoro Idadi ya Dead people imefikia 70 na majeruhi zaidi ya 3000... Pole zao hawa Phoenicians People
 
Back
Top Bottom