Mlipuko mkubwa watokea mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Watu zaidi ya 78 wafariki na zaidi ya 4,000 kujeruhiwa

Nakuunga mkono kwenye post yangu no. 128
Yes, kama ulivyosema katika post yako juu, lile tukio linatakiwa liwe somo kubwa kwa taifa letu. Vifaa hatari/milipuko vikikosa uangalizi na ukaguzi wa kitaalamu siku vikilipuka madhara yake yanakua janga la kitaifa.
 
Unamaanisha kuwa hakuna tukio limetokea Lebanon?Au unaaminsha kuwa video imetengezwa kuaminisha watu kuwa Lebanon kuna mlipuko ambao haupo kabisa?

Tusaidie kidogo na sisi tujue.
 
Unamaanisha kuwa hakuna tukio limetokea Lebanon?Au unaaminsha kuwa video imetengezwa kuaminisha watu kuwa Lebanon kuna mlipuko ambao haupo kabisa?

Tusaidie kidogo na sisi tujue.
Lebanon milipuko hutokea but hii video ina viashiria vya man made
 
Zipo video nyingi tuu,walizo chukua watu nazo pia ni za kutengenezwa??
Nipetoa vigezo vyangu kwa hii niliyoichunguza, ndo maana nimekusomesha kuwa milipuko hutokea mara kwa mara..................... Video ya Leo ina viashiria vya kutengenezwa. Hizo nyingine zisemee wewe
 
Nipetoa vigezo vyangu kwa hii niliyoichunguza, ndo maana nimekusomesha kuwa milipuko hutokea mara kwa mara..................... Video ya Leo ina viashiria vya kutengenezwa. Hizo nyingine zisemee wewe
Sawa mkuu nimekuelewa kama ulivyosema.
 
Ondoa haya mawazo!Umepotoshwa sana!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu watu wanaigiza kufa? kuwa siriaz kdgo mazee

Sent from my CAM-L21 using JamiiForums mobile app
 
Kaka mboba unatuchanganyia habari mzee ? Mara Mayahudi, mara Israeli ?

Unakitabu chochote cha dini yoyote kinachowataja Mayahudi kuwa ni watu wazuri zaidi ya vitabu vyao wenyewe ?

Sasa tujikite kwenye mada ya mlipuko na kilicho sababisha mlipuko.

Japokuwa kwangu mimi hawa ma Hizbullah tukiwaweka katika mizani ya kielimu hawana tofauti na Mayahudi, ila hili tuliache. Halina maana kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…