kong77
Member
- Mar 14, 2019
- 84
- 134
Sema unapenda muvi za kivita bana sio vita[emoji23]Hezbullah imeonya kama israel itakuwa inahusika basi watahakikisha wanaingia jelusalimu kibabe mimi napenda vita ngoja nisikilizie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema unapenda muvi za kivita bana sio vita[emoji23]Hezbullah imeonya kama israel itakuwa inahusika basi watahakikisha wanaingia jelusalimu kibabe mimi napenda vita ngoja nisikilizie
PM wa Israel huwa anatumia Kiebrania na hawezi kuwa mpumbavu kukiri hata kama anahusika. Ajari haijatulia aanze kuropoka, unadhani Israel wanachagua viongozi takataka kama nchi za sehemu flani ya dunia.Mwenye jeshi lake kasema Mimi ninani nibisheView attachment 1527345
Wamekua neutral ila inaeleweka wabaya wa Intelijensia Middle East. Wanakutungua hata chooni kwako ju kwa ju.
Kuna wakati mwingine kimya kinautangaza ubinadamu.Hezbullah imeonya kama israel itakuwa inahusika basi watahakikisha wanaingia jelusalimu kibabe mimi napenda vita ngoja nisikilizie
Hawajui. Mossad ni mtambo mwingine.
Ni kweli hawa ni vigilante group ila cio wadogo km unavyofikiria mkuu.silaha kubwa ya vita ni hari "spirit" ya wapiganaji wako.Hezbollah Ni kijikundi tu hapo Lebanon. Washapasuliwa Mara kadhaa ila hawakomi
Kwa hiyo hayo mengine ni Mataifa ya Shetani?
Israel wababe sana hapa duniani.
Dah!..hali ya hapo kwa kweli sio nzuri hasa uhasama kati ya Hizbullah na Israel unaweza kuhusishwa na huu mlipuko.Currently the situation is not good in the region
Mossad noma sana Kama nuke bomb yaniDuuh, si mchezo. Hivi lile gorofa pembeni pale lillikuwa na watu bila shaka.
Ila huu mlipuko ulikuja baadae, inaonekana kama kulitokea hitilafu fulani hapo kabla, maana kama kulikuwa kuna moto mdogo umeanza hivi.
Dah!...pole sana kwao
Ngoja tuone nani wa kumfunga paka kengele sasa hivi.Ubabe wao kwa wapalestina tu wasio na silaha. Hao ndio level yao. Mbona 2006 alichemka kwa hezbullah! Au wajitoa ufahamu!