Mlipuko mkubwa watokea mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Watu zaidi ya 78 wafariki na zaidi ya 4,000 kujeruhiwa

Mlipuko mkubwa watokea mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Watu zaidi ya 78 wafariki na zaidi ya 4,000 kujeruhiwa

Nawaona mabeberu weusi wasio na utu wakishangilia vifo vilivyotokeaa lebanon, jikumbushieni yaliyotokea dodoma ndugu jamaa na marafiki walipoteza uhai, mbona mlilia sana! Au waarabu sio binadamu enyi wagalatia!

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mkuu mbona huwa unawakashifu wayahudi, au hii double standard huioni??
 
Ukiangalia kwa mbali nawaza Yale mkazi ya Mzee Nyerere,pia makazi ya Mzee Mkapa pale butiama na lupaso !!sasa linganisha msoga na chato tukianza kupigana hapa bongo nitalipua bagamoyo yote halafu mwanza yote nateketezaaaa yaani hatuwezi kupakwa unafiki matokeo ndio hayooo watu tumenyamaza huku tukiangalia mchezo
Uwezo unao?
 
Nawaona mabeberu weusi wasio na utu wakishangilia vifo vilivyotokeaa lebanon, jikumbushieni yaliyotokea dodoma ndugu jamaa na marafiki walipoteza uhai, mbona mlilia sana! Au waarabu sio binadamu enyi wagalatia!
Mkuu unaelekea kutaka kuleta machafuko nani kafurahia msiba huu?
 
hamna shida ntakupatia ila nikitulia maana kidogo nipo naharakati katika kipindi hiki

ila pia kama utanipatia ulipopitia wewe haitakua vibaya...

Sent using My COVID-19
I am sorry it's taken me so long to see this.
Here you go.
FACTBOX: Costs of war and recovery in Lebanon and Israel hiyo ni Aftermath.

Mimi naamini kwenye vita hamna mshindi. Lakini wewe unaweza kunisaidia ni vigezo gani unaamini Hezbollah alikuwa mshindi?
Idadi ya vifo?
Walipata walichotaka?
Uharibifu uliotokea?
(Data zote zipo kwenye link hapo juu).
Kama utatumia data hizo ni wazi Hezbollah hakuwa mshindi.

Nasubiri sources zako.
 
Back
Top Bottom