Mlipuko Mkubwa watokea Mogadishu.

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219

Mlipuko mkubwa umetokea jana majira ya Jioni mjini Mogadishu inasemekana mapigano makali yanaendelea mpaka leo.

Kuna Mgogoro kati ya Waziri Mkuuna Raisi Makabila yao ambayo hutumia Alshababu kwa Manufaa yao ya kisiasa.

Jana niliweka Posti hapa Raisi wa Somalia ameenda Kuomba Msaada wa Pesa huko Qatar marokeo yake ndio haya eneo lililolipuliwa wanaishi kabila ya waziri Mkuu kwa wingi.

Wanasiasa na Serikali ya Somalia inashirikiana na Shabaabu.

Source:BBC
 
Mapigano bado yanaendelea Makkah Mukarama Street maiti zimetapakaa kila upande.
 
5:09 za jioni Mapigano bado yanaendelea mabikra na mabikra wanatarajiwa kupata waume
 
Mategemeo ya Alshababu ni makubwa.
 
Vituuuz!!!! alshabaab vituuuuzz!!!!
 

Ai ai aiiiiii lazima niuwe namimi nife ili nikawaoe haoWaraaaaaa!!!
 
Washashindikana hao,,,,hawanaga vikao vyakupatana wala kupelekana sijui polisi mahakamani,,,ukimzingua MTU anakamata chuma,,,,ma,,,mae
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alshababu wanasubiriwa na Wasichana 77 hebu fikiria

Lazima nimkule kabla ya kumvua nguo gizaaa kinembee!!..kabla haijanasa kula mifupa ikingali meno bado iko.
Bomu liko wapi shehe?!!
 
Kijana nikutangazia fatwa ukizidi kunifunjia heshima mimi sipendi utani wa Kingese.
Una heshima ipi wewe Mwehu mmoja video unazo weka unaonekana unajiuza kasino.
 

Raisi wa Somalia akiwa ameenda Qatar kuomba hela kama tujuavyo Qatar inahusishwa na kuisaidia ISIS na Al Shababu.
Amedhibitiwa kama Shoga Raisi yapaswa kujikakamua hawa Waarabu wanaweza wakakugeuza kijakazi.hahahahaha😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…