imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Mlipuko mkubwa umetokea jana majira ya Jioni mjini Mogadishu inasemekana mapigano makali yanaendelea mpaka leo.
Kuna Mgogoro kati ya Waziri Mkuuna Raisi Makabila yao ambayo hutumia Alshababu kwa Manufaa yao ya kisiasa.
Jana niliweka Posti hapa Raisi wa Somalia ameenda Kuomba Msaada wa Pesa huko Qatar marokeo yake ndio haya eneo lililolipuliwa wanaishi kabila ya waziri Mkuu kwa wingi.
Wanasiasa na Serikali ya Somalia inashirikiana na Shabaabu.
Source:BBC